ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Unawahonga Watu, unatumia ubabe. Ni nchi moja yenye rushwa sana. Haina tofauti na Urusi.Ukraine hupewi unagombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawahonga Watu, unatumia ubabe. Ni nchi moja yenye rushwa sana. Haina tofauti na Urusi.Ukraine hupewi unagombea
Usibishe kutokana na mahaba uliyo nayo ila ndio ukweliHuyu comedian sijui anamdanganya nani sijui anajua dunia haioni nchi yake ilivyo chakaa
Logistic!!! Wengine nendeni shule kwanza mnatusumbua umuKifaru kimoja kinabeba crew watatu, kuna video moja inaonesha mjeda wa urusi anatoka ndani ya kifaru na kutoka nduki sio mchezo. Ukiona operation ya kijeshi mmepoteza askari zaidi ya kombania moja kuna tatizo sehemu. Inawezekana Russia hakufanya logistic kutambua uwezo wa jeshi la ukraine. Pia ni kama aliichukulia poa back up ya mabeberu maana operation inapokuwa ndefu hasara zake ni kubwa
CHUKUA HIIHasara ya nchi kuwa vitani ni kubwa sana kuliko maelezo wala hasikwambie mtu.yani ukiona Urusi kapata hasara ya laki 1 basi zidisha mara 100 upate hasara ya Ukraine.
1)Piga hesabu bandari za ukraine kwa kila mwezi zilikuwa zinaingia kiasi gani?
2) piga hesabu viwanja vya ndege vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kila mwezi
3) piga hesabu viwanda vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kwa mwaka?
4)piga hesabu mikoa iliyopo kwenye vita ilikuwa inaingiza kiasi gani kwa mwaka.
5) kikosi cha majini na kikosi cha anga cha Ukraine kimeteketezwa na warusi.piga hesabu gharama ya ivyo vikosi.
6)zaidi ya madaraja 20 ya ukraine yameteketea.ukipiga hesabu ya kujenga daraja moja tu ni zaidi ya bilioni 50.ukipiga mara 20 ni zaidi ta tilioni imeteketea.
7) viwanja vya ndege vyote vimeshambuliwa.zaidi ya viwanja 50 vimepigwa na mabomu.kujenga kiwanja kimoja tu si jambo dogo.
Naimani mtakuwa mmepata picha kamili
Kwanini usiende kwa vyombo husika vya ulinzi na usalama kwenda kureport kuwa jirani yangu kaleta 'Jambazi'kwake ili wao wenye hayo mamlaka wachukue hatua? Wewe binafsi huna mamlaka ya kujichukulia sheria mkononi kwenda kuvunja geti la jirani yako eti unataka kumtoa 'jambazi' vinginevyo mbele ya jamii iliyostaarabika utaonekana ni mkorofi.4by94 kwanini unakimbia na kuogopa kujibu hili swali au wewe ni mwanaume mchelemchele mkuu.
Sasa ili kuthibitisha kwamba hauna akili na wewe ni muoga na legelege.
Basi ndio maana unalikimbia hili swali kama mwenzako.
Wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?
Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Mwenye hasara ni yule aliyekwenda kuanzisha ugomvi bila sababu ya msingi,amesababisha askari wake wengi kufa ovyo na bado hata lengo lake halijatimia.Kaitumbukiza Nchi yake kwenye sanctions na kusababisha Uchumi wake uzorote kwa kiasi kikubwa,itamchukua miaka kadhaa kuja kucatch up walau alipokuwa amefikia.Ukraine anajilinda kwa gharama yoyote na kwake uhuru wa Taifa lake ndiyo swala la msingi zaidi,Nchi yake ikibaki na uhuru wake huo ndiyo ushindi mkubwa kwao.Maswala ya miundo mbinu kuharibiwa mbona inaeleweka,Ukraine itajengwa tena kwa mapesa ya Russia.Ile Nchi haitajengwa kwa pesa za miamala ya tozo ujue.Hasara ya nchi kuwa vitani ni kubwa sana kuliko maelezo wala hasikwambie mtu.yani ukiona Urusi kapata hasara ya laki 1 basi zidisha mara 100 upate hasara ya Ukraine.
1)Piga hesabu bandari za ukraine kwa kila mwezi zilikuwa zinaingia kiasi gani?
2) piga hesabu viwanja vya ndege vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kila mwezi
3) piga hesabu viwanda vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kwa mwaka?
4)piga hesabu mikoa iliyopo kwenye vita ilikuwa inaingiza kiasi gani kwa mwaka.
5) kikosi cha majini na kikosi cha anga cha Ukraine kimeteketezwa na warusi.piga hesabu gharama ya ivyo vikosi.
6)zaidi ya madaraja 20 ya ukraine yameteketea.ukipiga hesabu ya kujenga daraja moja tu ni zaidi ya bilioni 50.ukipiga mara 20 ni zaidi ta tilioni imeteketea.
7) viwanja vya ndege vyote vimeshambuliwa.zaidi ya viwanja 50 vimepigwa na mabomu.kujenga kiwanja kimoja tu si jambo dogo.
Naimani mtakuwa mmepata picha kamili
Ukiongea sana unazidi kujionedha ulivyo na content chache. Hiyo nchi huru Ukranin ipo angani haina majirani? Ukiwa na majirani maana yake una mipaka na inasheria zinazokuunganisha wrwe na jirani yako. Nchi yako haiwezi kuwa hufu kama inakiuka mapatano na jirani yako ikiwa pamoja na kujiunga na maadui wa jirani yako ambaye mlikubaliana awali kwamba hutojiunga nao.
Bwa shehe unazidi kujivua nguo mkuu.We bwashee hujui kitu kuhusu ugomvi wa Ukraine ,hivi unajua Crimea ilipokonywa na urusi wakati huo hata Ukraine hakua na mpango wa kijiunga na NATO ,Russian wakanogewa wakataka kuichukua Ukraine yote ndipo Ukraine akaona usalama wake bora ajiunge NATO.Urusi si wazuri bwashee
Kumbe unafahamu yote bwashee ,ila una mapenz na Russia sanaBwa shehe unazidi kujivua nguo mkuu.
Ilivyo kwa crimea ,urusi na ukraini ni kama hivi.
Tanganyika pemba na unguja iunde Tanzania . Itokee muunga umevunjika pema na unguja zinakuwa Nchi moja Zanzibar na Tanganyika inabaki kuitwa Tanzania . Alfu kuwe na watu Unguja wanatamaduni zote za kitanzania na wanataka kujiunga na Tanzania. Raisi wa Zanzibar awe anawaua wote wanaompinga na kuhisi ni maadui zake hapo ndio Tanzania inapompiga Zanzibar na kumuweka mtu wake Unguja(crimea )
Umeelewa?
Khaaa sina mahaba na yeyote minipo zangu Mwanza huku tinajadili tu hapa kufurahisha mioyo au we hufurahi?Kumbe unafahamu yote bwashee ,ila una mapenz na Russia sana
Mkuu umenena,Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye jicho la mwenzake! Yeye hakupata hasara? Haoni hasara aliyoipata? Angenyamaza kimya, sidhani kama ana haki ya kusema chochote katika hili! Upumbavu wake umeisababishia hasara kubwa nchi yake kwa faida za mabeberu wa magharibi!
Msamehe bure, hawaelewagi hao.Ivi wewe ni mwehu eeeh sasa unabisha nini apa jamaa ajataka ubishi na wewe kakupeleka moja kwa moja kwenye jukumu no moja la Raisi katika nchi husika, katiba zote duniani jukumu la raisi la kwanza ni kuilinda mipaka ya nchi yake sasa wewe sijui unachobishania ni nini je unabishana na katiba au umelewa gongo?
5. Hakuna sehemu ya Russia iliyoshambuliwa. Moskva ilipata hitilafu yenyewe kama ingeshambuliwa wanajeshi wasingetoka hai.Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.
1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia.
3. Ukubwa wa jeshi la Urusi mpaka sasa ameweza kuwadhitibiti kwa sehemu Kyiv isichukuliwe.
4. Operation toka siku 3 mpaka sasa umeingia mwezi wa 3, ongera kwake kwa ujasiri huu.
5. Ameshambulia sehemu kadhaa kwa udogo Russia, na amepiga mpaka meli bora kabisa ya kisasa ya Kirusi yenye mifumo ya S300 defence system. Jamaa kajihidi mno.
6. Amedhihirisha kuwa russia wamemtia hasara sababu inaonekana hasara amepata yeye tu ila kumbe hata Russia amepata.
7. Amefanya ulimwengu ujue mrusi kuna mda mikwara mingi kama msukuma aloshinda tatu mzuka milioni 5 kumbe vitendo hamna kitu.
Mwisho kabisa huu ndo uanaume, sio unavamiwa na baunsa unakuwa mnyonge kumtoa mkeo na familia, mwanaume lazima upambane.
Ni kwel Ukraine ni dhaif kiujasus lkn umeishusha sana,kabla ya mashambuliz Ukraine ilijua fika kwamba siku si nying mashambuliz yataanza na ndio maana wanasiasa waandamiz,watendaj waandamiz wa serikal na mashirika makubwa na wafanyabiashara wakubwa wote walijificha mahali salama na ndio maana mpaka leo ktk hayo makundi niliyoyataja hakuna aliyelipuliwa na mabom ya urusi wanaohanya ni raia wa kawaida tu.Mkuu acha jazba Ukraine hawakutaka vita kabla wao walivamiwa walilala asubuhi wakaamkia mabomu kila upande ndio wakaanza kujilinda, hata wewe ukishambuliwa lazima utaumia kwa sababu hukujua adui anaanza wapi., tunawashangaa Russia ambao tumeaminishwa kwenye masikio yetu kwamba Mrusi hataki mchezo sijui ana hichi na hichi leo nikisomewa hasara aliyoipata kwenye hiyo operation ni aibu kubwa kwake, na wengi tumepata kujua na kujifunza kumbe Russia ilijenga heshima ya woga na kimchongo kwamba ni taifa kubwa kivita kumbe hata Ruwanda anaweza kusimama naye kwenye vita.
Marekani baada ya kumjua udhaifu wake sasa kashapewa majibu kama anataka vita na Marekani aanze wao marekani hawataacha kuipa silaha Ukraine kumshughulikia Putin, kabla putini alionya sasa kashapewa jibu kwamba hawatasita kuipa silaha Ukraine lakini na Ujerumani wamejibu pia kwamba ndani ya Ukraine kuna jeshi lao linatoa mafunzo kwa wanajeshi wa Ukraine yoote hayo kaambiwa putini wa mchongo sasa kama ni mwaname arushe japo jiwe kule Washington maana kila kitu sasa keshaekewa wazi.
Meli yake ya kivita iliripuliwa ni muingereza na anajua kila siku anasogeza vinu vya nuclear lakini ana kitetemeshi kupiga huko ulaya ama Marekani kwanini?
Mkuu ile meli ya Russia ni ya 1980Meli ya kisasa ilijengwa mwaka 2000 nangapi nyie vijana bana haya google hamuijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia niko kisesa mkuu tunajadiliKhaaa sina mahaba na yeyote minipo zangu Mwanza huku tinajadili tu hapa kufurahisha mioyo au we hufurahi?
Hoja yako iko wapi?Ni kwel Ukraine ni dhaif kiujasus lkn umeishusha sana,kabla ya mashambuliz Ukraine ilijua fika kwamba siku si nying mashambuliz yataanza na ndio maana wanasiasa waandamiz,watendaj waandamiz wa serikal na mashirika makubwa na wafanyabiashara wakubwa wote walijificha mahali salama na ndio maana mpaka leo ktk hayo makundi niliyoyataja hakuna aliyelipuliwa na mabom ya urusi wanaohanya ni raia wa kawaida tu.
Na ndio maana mdau hapo juu anajaribu kusema kuwa Z na timu yake walipaswa kutathmin hali na kufanya maamuz kwa maslah ya raia wa Ukraine ambao mida hii wanahanya wakiwa hawajui mustakabal wao kutokana na zahma inayoendelea.