4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
jitathimin ubongo wakoInakuwaje anayejifanya anashinda vita ndiyo analialia kila siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jitathimin ubongo wakoInakuwaje anayejifanya anashinda vita ndiyo analialia kila siku?
Wacha tu nikujibu iko ivi apa duniani hakuna mtu wa kumpangia mtu mwingine ni yupi awe rafiki yake ama ni yupo awe adui yake broo yaani kwamba uamue tu kisa jirani yako ana urafiki na mtu ambae wewe humpendi basi ujiendeee tu kuleta ugomvi na kuharibu mali za mwenzako kisa tu ana urafiki na mtu ambaye wewe humpendi duu izi ni akili za wapiIli kuthibitisha kwamba hauna akili na wewe ni muoga na legelege.
Basi ndio maana unalikimbia hili swali kama mwenzako.
Wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?
Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles.
Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said.
Source CNN today 1/05/2022
Kama kuna kaukweli basi urusi kazi wanayo,huwenda ikawa ndio maana wamekimbia kiaina wakidai lengo lao ni East.
Unaelewa maana ya huru mzee mbona unarudia rudia maswali ya kitoto mzee hili nini maana ya nchi huru labda tuanzie apaTunarudi palepale.
Wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?
Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Kwahiyo ni sahihi kwa Ukraine kupambana na uvamizi lakini sio sahihi kwa Russia kumkataa jambazi NATO ambao ni baba yake na USA karibu na mlango wake?Wacha tu nikujibu iko ivi apa duniani hakuna mtu wa kumpangia mtu mwingine ni yupi awe rafiki yake ama ni yupo awe adui yake broo yaani kwamba uamue tu kisa jirani yako ana urafiki na mtu ambae wewe humpendi basi ujiendeee tu kuleta ugomvi na kuharibu mali za mwenzako kisa tu ana urafiki na mtu ambaye wewe humpendi duu izi ni akili za wapi
Dunia ya sasa haiko ivyo mzee amka toka uko dunia ilisha toka uko muda sana mzee hatuwezi kuishi kama wanyama kisa tu wewe una minguvu ama umeshiba maugali yako ndo uende kuvamia vamia tu tu watu kisa wana urafiki na watu ambao wewe huwapendi
Hapa unajipinga wewe mwenyewe.Wewe ni mwehu huna fact zozote asee hakuna mwanaume kamili mwenye akili kama za kwako kwamba nyumbani kwako jirani yako akikuvamia na kukupangia masharti unapaswa kumpigia magoti na kumkabidhi familia yako yote ili akuonee huruma acha ubwege wewe mwanaume kamili ni yule anayeipambania familia yake kwa jasho na damu na siyo kuwa na akili za komoni eti ukubali kuvuliwa chupi na mwanaume mwenzio kisa eti ukibisha familia yako itapata maumivu huu ujonga wa design hii kawshauri nduguzo na mkeo!!
Hamna mtu hapo. Ni yale makapi ya raiaKwa mwandiko huu wa kuandika Hurusi badala Urusi; una'qualify' kweli kuleta thread kwenye hii forum (international forum)?!! Ambayo inakuhitaji uwe mfuatiliaji na mwelewa wa siasa za kimataifa.
Ukraine n taifa huru Lina haki ya kuamua Katka mambo ya ushirika bila kuingiliwa wa kuzuiwa na taifa loloteHuyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi.
Masharti ya russia yasingekuwa na madhara yoyote makubwa kwa taifa lake lakini kwa sababu ya pride na kushikiwa akili na westerners sasa hivi anakula hasara na wasio na hatia.
Kiongozi thabiti angetambua kwamba taifa sio rais tu bali kuna wananchi na angecalculate risk na madhara ambayo yangetokea baadae basi moja kwa moja angefanya maamuzi sahihi.
Wasanii wote naona hawapaswi kuwa viongozi sababu hawana nafsi ya uongozi.
Mkuu ungekuwa ww ndo umevamiwa kwenye familia yako ungeepukaje hiyo Vita au unamuachia family yako mvamizi na ungemfungisha ndoa mkeo kwa mvamizi afu ukakimbia kwa jirani badala ya kupambana kuilinda mipaka ya nchi yako??Hayo yooooote uliyoyaandika niliyaona pengine hata kabla hujayaona lakini nimechagua kumpuuza maana kama angekuwa na akili japo kidogo asingeweka rehani maisha ya wanançhi wake kwa faida ya Marekani na washirika wake! Ninachosema ni kwamba, angekuwa na akili pasingekuwa na vita!
NinVirusiNilijua urusi kumbe hurusi
Mkuu naomba hiyo clip bossKifaru kimoja kinabeba crew watatu, kuna video moja inaonesha mjeda wa urusi anatoka ndani ya kifaru na kutoka nduki sio mchezo. Ukiona operation ya kijeshi mmepoteza askari zaidi ya kombania moja kuna tatizo sehemu. Inawezekana Russia hakufanya logistic kutambua uwezo wa jeshi la ukraine. Pia ni kama aliichukulia poa back up ya mabeberu maana operation inapokuwa ndefu hasara zake ni kubwa
huyo jambazi huna uhakika kama ameletwa ,hata jirani yako angemleta jambazi huwezi kumvamia ,kwanini wewe usiweke ulinzi wa nyumbani kwako una guess tu jambazi analetwa na kuvamiaSawasawa kabisa upo sahihi.
Ila wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?
Utakaa kimya au utaenda kumuondoa huyo jambazi?
Maneno meeeeeeeeeeeeeeeengiVita vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo hadi mwisho wa dahali
Ninyi mabingwa wa kumtukana Zele nendeni mkawatukane na wapalestina ambao wakikubali kutii na kutawaliwa na waisraeli watoto na wake zao na wao wenye wataishi kwa amani
Kuna watu humu wakivamiwa na majambazi watakua radhi hata kushikishwa ukuta ili “kuokoa” familia zao
Umeona wapi nimeipamba CCM? Ni lini nilipoipamba CCM? Nadhani umerogwa wewe siyo bure au unanifananisha!Wewe Mwenye akili mbona unahangaika na kuipamba ccm tu
Unawezaje kumlinganisha Mkwawa na Zele? Mkwawa alipigana kwa manufaa ya watu wake!! Zele anapigana kwa manufaa na Marekani na washirikana wake! Zele ni kibaraka wa Marekani!!! Mkwawa hakuwahi kuwa kibaraka wa mzungu!!! Mkwawa alipambana na wakoloni, Zele analea wakoloni ili kuitawala Urusi!! Nadhani bado hujaelewa kinachoendelea! Kwa sababu hiyo nadhani hukuwa na haki ya kuongea! Nyamaza kimya!Kwa hiyo kina Mkwawa, Kinjeketile, Mangi sina...nao walikuwa wajinga??[emoji101]
Huna ulichoandika ,hivi unajua assets zote ambazo zimekua freezing za urusi zitspigwa mnada ili kufidia Ukraine, unajua ,alafu ni vita hata miez 6haijachukua kwa nchi kama Ukraine sio ishu wamepewa misaada mingi sana inayozid mapato yao, wewe tatizo hupigi hesabu Russia amepoteza kiasi gani cha pesa had mda huu ,achilia mbali kwenye vifaa vya jeshi ,kaa upige hesabu ndio ujeHasara ya nchi kuwa vitani ni kubwa sana kuliko maelezo wala hasikwambie mtu.yani ukiona Urusi kapata hasara ya laki 1 basi zidisha mara 100 upate hasara ya Ukraine.
1)Piga hesabu bandari za ukraine kwa kila mwezi zilikuwa zinaingia kiasi gani?
2) piga hesabu viwanja vya ndege vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kila mwezi
3) piga hesabu viwanda vilivyofungwa vilikuwa vinaingiza kiasi gani kwa mwaka?
4)piga hesabu mikoa iliyopo kwenye vita ilikuwa inaingiza kiasi gani kwa mwaka.
5) kikosi cha majini na kikosi cha anga cha Ukraine kimeteketezwa na warusi.piga hesabu gharama ya ivyo vikosi.
6)zaidi ya madaraja 20 ya ukraine yameteketea.ukipiga hesabu ya kujenga daraja moja tu ni zaidi ya bilioni 50.ukipiga mara 20 ni zaidi ta tilioni imeteketea.
7) viwanja vya ndege vyote vimeshambuliwa.zaidi ya viwanja 50 vimepigwa na mabomu.kujenga kiwanja kimoja tu si jambo dogo.
Naimani mtakuwa mmepata picha kamili
We bwashee uko wap mkuu nikupatie kvant kubwa ,una mchanganuo wa kiume achana na hawa warusi wa manzese wasiojitanbuaNaona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.
1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia.
3. Ukubwa wa jeshi la Urusi mpaka sasa ameweza kuwadhitibiti kwa sehemu Kyiv isichukuliwe.
4. Operation toka siku 3 mpaka sasa umeingia mwezi wa 3, ongera kwake kwa ujasiri huu.
5. Ameshambulia sehemu kadhaa kwa udogo Russia, na amepiga mpaka meli bora kabisa ya kisasa ya Kirusi yenye mifumo ya S300 defence system. Jamaa kajihidi mno.
6. Amedhihirisha kuwa russia wamemtia hasara sababu inaonekana hasara amepata yeye tu ila kumbe hata Russia amepata.
7. Amefanya ulimwengu ujue mrusi kuna mda mikwara mingi kama msukuma aloshinda tatu mzuka milioni 5 kumbe vitendo hamna kitu.
Mwisho kabisa huu ndo uanaume, sio unavamiwa na baunsa unakuwa mnyonge kumtoa mkeo na familia, mwanaume lazima upambane.
Mzee ivi unajua kuwa wewe una vituko mno asee embu tumia akili vizuri bhana mtu mzima wewe Ukrain anapambana na mvamizi Russia , Russia katoka nchini mwake kaenda kuivamia Nchi ya Ukrain, sasa lavda wewe uniambie ni lin uyo Ukrain amewahi kuivamia Russia mkuu maana sijaelewa hoja zKo,Kwahiyo ni sahihi kwa Ukraine kupambana na uvamizi lakini sio sahihi kwa Russia kumkataa jambazi NATO ambao ni baba yake na USA karibu na mlango wake?
Nananukuu quote yako hii hapa
Hapa unajipinga wewe mwenyewe.
Kwahiyo mkuu unamaanisha wewe utamuacha huyo jambazi wa jirani yako akuvamie wewe na familia yako kisa tu haumpangii mtu rafiki wa kuwa nae?
Huna ulichoandika ,hivi unajua assets zote ambazo zimekua freezing za urusi zitspigwa mnada ili kufidia Ukraine, unajua ,alafu ni vita hata miez 6haijachukua kwa nchi kama Ukraine sio ishu wamepewa misaada mingi sana inayozid mapato yao, wewe tatizo hupigi hesabu Russia amepoteza kiasi gani cha pesa had mda huu ,achilia mbali kwenye vifaa vya jeshi ,kaa upige hesabu ndio uje
Huna ulichoandika ,hivi unajua assets zote ambazo zimekua freezing za urusi zitspigwa mnada ili kufidia Ukraine, unajua ,alafu ni vita hata miez 6haijachukua kwa nchi kama Ukraine sio ishu wamepewa misaada mingi sana inayozid mapato yao, wewe tatizo hupigi hesabu Russia amepoteza kiasi gani cha pesa had mda huu ,achilia mbali kwenye vifaa vya jeshi ,kaa upige hesabu ndio uje