4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwahiyo kama ilijengwa zaman ndo haina hasaraMeli ya kisasa ilijengwa mwaka 2000 nangapi nyie vijana bana haya google hamuijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo kama ilijengwa zaman ndo haina hasaraMeli ya kisasa ilijengwa mwaka 2000 nangapi nyie vijana bana haya google hamuijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah ivi vituko sasa iyo ni error wakati wa uandishi am sure umeelewa nilichomaajisha sasa wewe jibu nilichomaajisha je unaelewa maana nchi kuwa huru ama taifa taifa huru , unaelewa maana taifa huru??Sovereignty state? hilo neno ndio kwanza nalisikia leo, maana yake nini?
swali zuri kabisaKwa hiyo kina Mkwawa, Kinjeketile, Mangi sina...nao walikuwa wajinga??[emoji101]
walimponda Ghani wa Afghanstan kwa kukimbia ila ss wanamponda Zelewisky kwa kupambania taifa lakeUjinga wake ni kuongoza Vita vya kuwaondoa wavamizi kwenye taifa lake ?....angekaa kimya mngembeza na kumuita dhaifu na mnyonge bora akomae tu.
Rais Ronald Reagan alikuwa pia msanii ila ndiye aliyeiangusha na kuisambaratisha USSR iliyokuwa kubwa yenye kutisha kuliko Urusi ya sasa,hii kauli ya kujumuisha 'wote' ni makosa.
ila ss hv yupo ulingoni anapambania taifa lake ila Putin kajificha Moscow huku anasababisha vifo vya watoto wadogo kawaingiza vitani bila kibali cha bunge la Urusi ,Putin baada ya hii vita atakuwa na kesi ya kujibu " mauaji ya halaiki "Uzuri Ni Kwamba Zelensky ana nyumba yake ufukweni huko Florida na mamilioni ya $$ yanamsubiri kwny a/c Kama Asante kwa kuivuruga ukraine.,nawakubali Sana Wamarekani kwa hilo.
kwahiyo hiyo ni ela ndogo ?We Ni liongo,Google hapo hata kifaru Cha T-14 kinachezea kwny $4m,hizo 23 bil labda za Zimbabwe.
Najua.Aaaah ivi vituko sasa iyo ni error wakati wa uandishi am sure umeelewa nilichomaajisha sasa wewe jibu nilichomaajisha je unaelewa maana nchi kuwa huru ama taifa taifa huru , unaelewa maana taifa huru??
hahahaaa mwanaume mchele mchele sio ?Mwanaume Mchele Mchele kama wewe ndo atakubali kuwekewa masharti na mwanaume mwenzia kwenye mji wake, lakini mwanaume thabiti kama Zelensky, kiduku na hata Putin mwenyewe hawezi kukubali kuwekewa masharti lazima atapambana kama tu anavyopambana Zelensky. Zelensky ni shujaa.
Na je unalifahamu jukumu na moja la Raisi wa Nchi yoyote ile duniani apa kama Vyote ivi unavifahamu je unalaumu nini Raisi wa Ukrain kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo yeye akiwa ndo Raisi wa Ukrain?Najua.
Wewe utafanyaje ikiwa jirani yako wa karibu anamleta jambazi nyumbani kwake ili baadae aje kufanya uovu nyumbani kwako na familia yako?hahahaaa mwanaume mchele mchele sio ?
Putin anaomba atokee mshuhuruhish ila Kituko India na China wanataka vita iendeleee ili na wao waendeleee kununua mafuta kwa bei ya tozo kutoka UrusiVita ni hasara nzito mno. Hapo hujaweka yale magari vita, ila kwa vifaru hakika putin wamemtia hasara, kwenye ile meli ndo kabisaaa.
Tunarudi palepale.Na je unalifahamu jukumu na moja la Raisi wa Nchi yoyote ile duniani apa kama Vyote ivi unavifahamu je unalaumu nini Raisi wa Ukrain kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo yeye akiwa ndo Raisi wa Ukrain?
kwahiyo angefanyaj baada ya kuvamiwa ?Zelensky ni kjiana fulani mpuuzi amepewa madaraka.
Hajui nnii maana ya madaraka.Ni hivi kuwasaidia watu wako, hasa wa chini. Ndio wengi.
ulitaka Zelewinsky afanyeje ?Ww tumia akili, there is a big difference between natural resources na pesa,unaweza kutumia natural resources kuzalisha hiyo USD 600B,na vizazi vyote vikaendelea kuishi kwenye hiyo ardhi. Hiyo pesa ni ndogo Sana,kumbuka maeneo yaliyochukuliwa na Urusi ndio uchumi wa Ukraine upo. Usiandike kishabiki ww
Sijakuelewa broNa wao walilazimishwa wasijiunge na NATO?
acha propaganda , Ukraine ilivamiwa so ulitaka asisaidiwe ? hayo mengine hata ukihojiwa hautokuwa na jipya zaid ya kuunga unga haya haya tunayoyaonaUnajua akili ni mali sana Yani unacho msifia Ukraine ni sababu tu Kyeiv haikuchukuliwa? Mwenye akili anajua wazi wanaye pigana na Mrusi ni NATO na USA Kwa kutumia uwanja wa Ukraine. Mwenye akili hawezi kubali nchi yake irudishwe nyuma miaka 30 na watu wake wengine sasa ni maomba omba. Hebu we kwanza jibu Ukraine kapata nini tokea vita kuanza? Mrusi Kisha imeza Mashariki na sidhani kama ataikomboa kiulaini. Mrusi hio Kyeiv anaitwanga Kila akiamua
Ili kuthibitisha kwamba hauna akili na wewe ni muoga na legelege.huna akili mkuu , kama nyerere alishindwa kukubali kupoteza Kagera , je unaezaj kusena kupoteza Majimbo matatu hain madhara? au mwenzet ni std 7 failure?
kweli kabisa , watoto wasasa mchele mchele sana mpk najiuliza wanapata wap iphone13 bila kibarua ? kuna walakini kwa hiki kizazVuta picha kijana alomjibu hapo juu ndo anakuwa kiongozi wa nchi au familia, si aibu hii? Mwanaume unapaswa kuwa na ujasiri hasa. Ukiona kabisa hiki hakiwezekaniki sema hakiwezekaniki na sio kuanza maongezi.
Demand ya Russia kwa Ukraine ilikuwa ni kubwa mno, na ni ya muda mrefu, maana yake kuwa hata wale waliopita hawakumuunga mkono putin juu ya matakwa hayo.
Kama hujaelewa basi bila shaka utakuwa hujui sababu ya hii operation.Sijakuelewa bro
4by94 kwanini unakimbia na kuogopa kujibu hili swali au wewe ni mwanaume mchelemchele mkuu.ulitaka Zelewinsky afanyeje ?