Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Meli ya kisasa ilijengwa mwaka 2000 nangapi nyie vijana bana haya google hamuijuiMkuu unajua gharama ya kifaru kimoja cha urusi jaribu hata kugoogle ,kifaru kimoja ni billion 23 za kibongo ,sasa linganisha kifaru kimoja kinatoa gorofa ngap,hapo hujapigia gharama za helicopter, ndege,magar,na vifaa vingine tatizo wabongo mnajua kifaru ni bei ya vits.hapo sijajumuisha gharama za ile meli ya kisasa,vikwazo ,na asett zote ambazo ziko freezing zimetaifishwa
Sent using Jamii Forums mobile app