Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Zelensky: Tumewapa hasara kubwa hurusi

Ww tumia akili, there is a big difference between natural resources na pesa,unaweza kutumia natural resources kuzalisha hiyo USD 600B,na vizazi vyote vikaendelea kuishi kwenye hiyo ardhi. Hiyo pesa ni ndogo Sana,kumbuka maeneo yaliyochukuliwa na Urusi ndio uchumi wa Ukraine upo. Usiandike kishabiki ww
Na ajue bado kila siku nchi za ulaya zinawapa russia biliions of money kwaajili ya gesi wanayotumia. Juzi tu kampuni ya Germany wamesema watabadili hela kuwa rubi ili kuweza kufuata sharti la putin.
Ukraine imechaguliwa kama sehemu ya kujaribu silaha na vifaa before the third world war. Ndo maana watu wanamuona zeli kama mpumbavu kukubali hilo jambo. Ni puppet puppet kilaza. The only looser here ni UKRAINE. Laiti wanamchi wa ukraine wangeelewa hili mapema wasingempa nchi huyu comedian. Ili US na NATO wachague uwaja mwingine kwa ajili ya mazoezi yao. Na ndio maaana si US wala Nato anayehangaika na kutaka mazungumzo. Wao wanataka vita viendelee tu na ndio maana wanapeleka vifaa na silaha kila siku kuwasha moto zaidi maana wanajua wanaokufa ni Ukraine army.
 
Unaongelea ulaya,au Ukraine Urusi kupoteza hizo pesa kwa sababu ya vita
Sasa mimi na wewe nani asiyetumia akili, kila natural resources itakulipa sawasawa na matakwa yako? Hizo sehemu aizoshika ndo zitafanya Ulaya irudi kununua gas kwake? Hiyo sshemu ataishika milele?
Elea
 
Back in history, russia na German waliwahi kuivamia Poland kuna upande wa mashariki walitolewa kamasi kidogo, unfortunately Hitler aliwatwanga wakasalimu amri. Kwenye hii vita beberu anamkono mrefu Sana, kuna paper zimechambua udhaifu wa vifaru vya urusi ambavyo vimeteketea kwelikweli. Yaani St javelin imeviharibu kinoma kikipigwa juu kinaungua chote
Malizia kwa kusema kuwa kinaua mpaka maaskar waliomo ndani ya kifaru.
 
Raisi kichaa uyu,
Analinganisha hasara ya vifaru,
Anashindwa kuangalia maisha ya Raia wake wengi wasio na hatia waliopoteza maisha ktk Hii vita[emoji3525]
 
Na ajue bado kila siku nchi za ulaya zinawapa russia biliions of money kwaajili ya gesi wanayotumia. Juzi tu kampuni ya Germany wamesema watabadili hela kuwa rubi ili kuweza kufuata sharti la putin.
Ukraine imechaguliwa kama sehemu ya kujaribu silaha na vifaa before the third world war. Ndo maana watu wanamuona zeli kama mpumbavu kukubali hilo jambo. Ni puppet puppet kilaza. The only looser here ni UKRAINE. Laiti wanamchi wa ukraine wangeelewa hili mapema wasingempa nchi huyu comedian. Ili US na NATO wachague uwaja mwingine kwa ajili ya mazoezi yao. Na ndio maaana si US wala Nato anayehangaika na kutaka mazungumzo. Wao wanataka vita viendelee tu na ndio maana wanapeleka vifaa na silaha kila siku kuwasha moto zaidi maana wanajua wanaokufa ni Ukraine army.
Sasa wewe na zelensky nani kilaza? Toka miaka ya 2010 huu mzozo ulikuwepo, na bado Marais wa kipindi hiko walimpinga Putin. Kwani dogo kabla ya vita toka mwaka jana si raia wa uktaine waliambiwa wajiandae na vita? Hukumbuki au? Kama raia wa Ukraine wangempinga Rais wao, walishindwa nini kumpinga? Zele anaungwa mkono na serikali yake yote na wananchi wake, kule kiongozi haongozi taifa kwa utashi wake kama huku Afrika ila maamuzi ya wengi ndo yanaongoza Taifa.
 
Malizia kwa kusema kuwa kinaua mpaka maaskar waliomo ndani ya kifaru.
Kifaru kimoja kinabeba crew watatu, kuna video moja inaonesha mjeda wa urusi anatoka ndani ya kifaru na kutoka nduki sio mchezo. Ukiona operation ya kijeshi mmepoteza askari zaidi ya kombania moja kuna tatizo sehemu. Inawezekana Russia hakufanya logistic kutambua uwezo wa jeshi la ukraine. Pia ni kama aliichukulia poa back up ya mabeberu maana operation inapokuwa ndefu hasara zake ni kubwa
 
Huyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi.
Masharti ya russia yasingekuwa na madhara yoyote makubwa kwa taifa lake lakini kwa sababu ya pride na kushikiwa akili na westerners sasa hivi anakula hasara na wasio na hatia.

Kiongozi thabiti angetambua kwamba taifa sio rais tu bali kuna wananchi na angecalculate risk na madhara ambayo yangetokea baadae basi moja kwa moja angefanya maamuzi sahihi.
Wasanii wote naona hawapaswi kuwa viongozi sababu hawana nafsi ya uongozi.
Mkuu unaonyesha ukivamiwa kwako hata ukuta utatoa maana muoga sana
 
Raisi kichaa uyu,
Analinganisha hasara ya vifaru,
Anashindwa kuangalia maisha ya Raia wake wengi wasio na hatia waliopoteza maisha ktk Hii vita[emoji3525]
Wananchi wa ukraine sio wajinga kama unavyofikili, kama kiongozi wao angekuwa community destructed wangemuondoa. Ukraine ni victim of russia since the Soviet era, sasa wameamua kukaza pumbu zao na kupambana. Kama Rais wao angekuwa mjinga jeshi lake lingeasi au kugawanyika lakini wanatii order na kujibu mapigo. Nidhamu ya uoga iko kwetu tu kwa wazee wakahawa kama bush man mmoja tu alitaka kupima wanaume wenzie tezi dume kwa lazima na hakufanywa lolote
 
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles.

Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said.
Source CNN today 1/05/2022
Kama kuna kaukweli basi urusi kazi wanayo,huwenda ikawa ndio maana wamekimbia kiaina wakidai lengo lao ni East.
Mwehu kweli huyu!!
 
Mkuu; Umeonae.
 
Drop down to this example, Jirani yako akizusha ugonvi na wewe, akakupa sharti la kuikabidhi familia yako ( mke na watoto), utakubali au utasalimisha familia yako kwake? Utapigana nae au utakimbia? Acha uzembe wa kufikiri mzee baba
Je demand ya westerns ni ipi kwa Ukraine?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye jicho la mwenzake! Yeye hakupata hasara? Haoni hasara aliyoipata? Angenyamaza kimya, sidhani kama ana haki ya kusema chochote katika hili! Upumbavu wake umeisababishia hasara kubwa nchi yake kwa faida za mabeberu wa magharibi!
Ebu elezea huo upumbavu wake upi? Umejuaje kuwa ana boriti kwenye jicho lake? Labda kijiti tu?
 
Kikubwa tunaona kama Zelensky anapigana
Lkn ni pressure kubwa anayoipata to kwa Marekani
Marekani ndo mpango mzima na waliipanga hata kabla Mccain hajafariki
Hapo ni timing inatafutwa
Mrusi si Afghanistan,Zelensky yuko mtu kati anatumika na hana ujanja hata kiduchu

Ipo video Mccain na kiongozi 1 wa US wakiongea na wanajeshi wa Ukraine na kuwaahidi watawapa kila aina ya silaha na support yote ili kupigana Urusi

Imegoma tu kupanda hapa
Na wewe unaleta conspiracy theory hapa. Toa link inayoonyesha kuwa huu ni mpango wa nyuma kati ya Marekani na Ukraine.
 
Kwa mwandiko huu wa kuandika Hurusi badala Urusi; una'qualify' kweli kuleta thread kwenye hii forum (international forum)?!! Ambayo inakuhitaji uwe mfuatiliaji na mwelewa wa siasa za kimataifa.
Anatakiwa aongeze umakini ,akumbuke this is the home of "Great Thinkers."
 
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said the Ukrainian army has already destroyed more than 1,000 Russian tanks, nearly 200 Russian aircraft, and almost 2,500 armored fighting vehicles.

Despite these losses, Russian troops still have equipment to launch additional attacks, Zelensky said.
Source CNN today 1/05/2022
Kama kuna kaukweli basi urusi kazi wanayo,huwenda ikawa ndio maana wamekimbia kiaina wakidai lengo lao ni East.
Kwani hurusi ndio nini!!?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom