AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Na ajue bado kila siku nchi za ulaya zinawapa russia biliions of money kwaajili ya gesi wanayotumia. Juzi tu kampuni ya Germany wamesema watabadili hela kuwa rubi ili kuweza kufuata sharti la putin.Ww tumia akili, there is a big difference between natural resources na pesa,unaweza kutumia natural resources kuzalisha hiyo USD 600B,na vizazi vyote vikaendelea kuishi kwenye hiyo ardhi. Hiyo pesa ni ndogo Sana,kumbuka maeneo yaliyochukuliwa na Urusi ndio uchumi wa Ukraine upo. Usiandike kishabiki ww
Ukraine imechaguliwa kama sehemu ya kujaribu silaha na vifaa before the third world war. Ndo maana watu wanamuona zeli kama mpumbavu kukubali hilo jambo. Ni puppet puppet kilaza. The only looser here ni UKRAINE. Laiti wanamchi wa ukraine wangeelewa hili mapema wasingempa nchi huyu comedian. Ili US na NATO wachague uwaja mwingine kwa ajili ya mazoezi yao. Na ndio maaana si US wala Nato anayehangaika na kutaka mazungumzo. Wao wanataka vita viendelee tu na ndio maana wanapeleka vifaa na silaha kila siku kuwasha moto zaidi maana wanajua wanaokufa ni Ukraine army.