Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
... Katiba za nchi haziko hivyo wewe; hata Katiba ya JMT hairuhusu Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa nchi vamizi kasome Katiba uelewe.Huyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi...
Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.Atoe kwanza boriti kwenye jicho lake ndipo aone kibanzi kwenye jicho la mwenzake! Yeye hakupata hasara? Haoni hasara aliyoipata? Angenyamaza kimya, sidhani kama ana haki ya kusema chochote katika hili! Upumbavu wake umeisababishia hasara kubwa nchi yake kwa faida za mabeberu wa magharibi!
Mchape na kofi.... Katiba za nchi haziko hivyo wewe; hata Katiba ya JMT hairuhusu Amiri Jeshi Mkuu ku-surrender nchi kwa nchi vamizi kasome Katiba uelewe.
... Kiongozi kuna watu humu wanachojua ni kuropoka tu; eti wanamlaumu Zelensky kwa kuiingiza nchi yake vitani. Ukraine imevamiwa, walichotamani Zelensky aikabidhi nchi kwa Russia kama anatoa zawadi ya andazi labda. Unajiuliza hawa watu wanawaza nini hupati majibu.Mchape na kofi.
Mkuu unajua gharama ya kifaru kimoja cha urusi jaribu hata kugoogle ,kifaru kimoja ni billion 23 za kibongo ,sasa linganisha kifaru kimoja kinatoa gorofa ngap,hapo hujapigia gharama za helicopter, ndege,magar,na vifaa vingine tatizo wabongo mnajua kifaru ni bei ya vits.hapo sijajumuisha gharama za ile meli ya kisasa,vikwazo ,na asett zote ambazo ziko freezing zimetaifishwaHuyu comedian sijui anamdanganya nani sijui anajua dunia haioni nchi yake ilivyo chakaa
Hayo yooooote uliyoyaandika niliyaona pengine hata kabla hujayaona lakini nimechagua kumpuuza maana kama angekuwa na akili japo kidogo asingeweka rehani maisha ya wanançhi wake kwa faida ya Marekani na washirika wake! Ninachosema ni kwamba, angekuwa na akili pasingekuwa na vita!Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.
1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia...
Kikubwa tunaona kama Zelensky anapiganaNaona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.
1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia.
...
Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilindaHuyu jamaa ni mjinga na ujinga wake ndio umepelekea wananchi wake kufa kwa sababu zisizo na msingi.
Masharti ya russia yasingekuwa na madhara yoyote makubwa kwa taifa lake lakini kwa sababu ya pride na kushikiwa akili na westerners sasa hivi anakula hasara na wasio na hatia...
Kwa kweli hata mimi imenifikirisha sana…….why 🤷🏽♀️Kwa mwandiko huu wa kuandika Hurusi badala Urusi; una'qualify' kweli kuleta thread kwenye hii forum (international forum)?!! Ambayo inakuhitaji uwe mfuatiliaji na mwelewa wa siasa za kimataifa.
Mkuu em ingia YouTube check hiiAcha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
Ukifikiri nje ya box utaelewa! Zele ni puppet leader kama mlivyo wengi hapa Afrika! Mawazo yako yananifanya niamini na wewe ni miongoni mwa viongozi vibaraka wa magharibi!Acha kujitoa ufahamu bwashee yaan mwiz akuvamie alafu ukae kimya,Ukraine ni nchi huru ina haki ya kujilinda
Unamsifia mtu aliejificha huku wanachi wake wanakufa, na nchi inaangamizwa.Naona kama wewe ndo ungenyamaza kimya chief, yeye ana haki ya kujitapa.
1. Anatetea kiapo chake cha kulinda Ukraine.
2. Yeye ndo amevamiwa na sio kwamba amevamia...