Zelensky: Ugomvi baina ya Iran na Israel usisababishe nikakosa misaada

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,381
Reaction score
11,296
Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.

View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267

JUST IN: 🇺🇦 Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with Iran will not reduce aid to Ukraine.
 
Hapana yeye aendelee TU,maana mashabiki wake wanasemaga anaitoa jasho Urusi,Sasa Kwa Nini anaeomba asisahaulike kwa misaada kutoka west?
Yeye si mjuaji bana aendelee TU kupambana.
 
Back
Top Bottom