Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Atulie kidogo huku akisubiri mrejesho wa maswali yake aliyomuuliza Putin hivi majuzi.Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: πΊπ¦ Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with Iran will not reduce aid to Ukraine.
Dunia ipo speed sana!Atulie kidogo huku akisubiri mrejesho wa maswali yake aliyomuuliza Putin hivi majuzi.
Putin atampa kipigo kikali,si alijifanya kupokea kiburi alichopewa na Germany.Dunia ipo speed sana!
Naona watu wamekuwa wagumu kupokea simu zake, ameamua kuwarushia ujumbe juu kwa juu!!!Putin atampa kipigo kikali,si alijifanya kupokea kiburi alichopewa na Germany.
Hapana yeye aendelee TU,maana mashabiki wake wanasemaga anaitoa jasho Urusi,Sasa Kwa Nini anaeomba asisahaulike kwa misaada kutoka west?Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: πΊπ¦ Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with Iran will not reduce aid to Ukraine.
Amefanya kwa7bu anajua kitakacho fuata hasa pale alipojifanya kumchokoza Putin siko ya sherehe.Naona watu wamekuwa wagumu kupokea simu zake, ameamua kuwarushia ujumbe juu kwa juu!!!
πHofu penzi jipya lisije poteza bwana ake ππ
Aisee, hii vita ya Israel na Iran ni Janga kwa Ukreine.Zelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: πΊπ¦ Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with Iran will not reduce aid to Ukraine.
ππππHanaga aibu huyu boya!
πHofu penzi jipya lisije poteza bwana ake ππ
Huyu bwege mbona kadataZelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.
Bado anahitaji sana misaada.
View: https://x.com/BRICSinfo/status/1933872405090566267
JUST IN: πΊπ¦ Ukrainian President Zelensky says he hopes Israel's conflict with Iran will not reduce aid to Ukraine.
Hahahaha! Du! Zelensky havungi! Asubiri wakimalizana na Iran wataenda kumsaidiaZelensky anaomba USA na maswahiba zake wasije wakazama sana katika kumpiga TAFU Israel mwisho wa siku wakamsahau yeye na Ukraine yake.