Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US na yeye atapewa ardhi piaMy take:
Vita inachosha Sana wakuu😢
Si kuna sehemu zimepigwa mabomu na kuharibiwa mkuu ? Makampuni ya ujenzi ya marekani yatapewa mikataba minono kuzijenga hizo sehemu....US na yeye atapewa ardhi pia
Ni swap mzee baba, probably na ile ya urusi waliyotekaMy take:
Vita inachosha Sana wakuu😢
Sema US wananufaika sana na hizi vita ... Wanauza silaha kabla na wakati wa vita halafu ikiisha bado wao ndio wanakuja kukujengea tenaSi kuna sehemu zimepigwa mabomu na kuharibiwa mkuu ? Makampuni ya ujenzi ya marekani yatapewa mikataba minono kuzijenga hizo sehemu....
Soma kuelewa si kukurupukaUS na yeye atapewa ardhi pia
Sikuwa najua...na Ukraine wana ardhi ya Urusi waliichukua... Kweli fita ni fita tu mura! 🙌Taarifa inasema "Swap" means exchanging.
Yani Ukraine ipo tayari wafanye mabadilishano ya ardhi ambayo imeichukua kutoka Urusi halafu Urusi nao wakabidhi ardhi ya Ukraine ambayo waliichukua.
Ni tofauti sana na kusema Ukraine ipo tayari kukabidhi ardhi yake kwa Urusi ili kumaliza vita.
Wahuni sanaaaSema US wananufaika sana na hizi vita ... Wanauza silaha kabla na wakati wa vita halafu ikiisha bado wao ndio wanakuja kukujengea tena
Taarifa inasema "Swap" means exchanging.
Yani Ukraine ipo tayari wafanye mabadilishano ya ardhi ambayo imeichukua kutoka Urusi halafu Urusi nao wakabidhi ardhi ya Ukraine ambayo waliichukua.
Ni tofauti sana na kusema Ukraine ipo tayari kukabidhi ardhi yake kwa Urusi ili kumaliza vita.
NoshamweleweshaSoma kuelewa si kukurupuka
Mibwege tu izo Pesa zao Wenyewe wao kazi kubwa Wanayofanya au Faida ni Kutakatisha Pesa kutoka Marekani!!! Silaha zao kutoka USA makampuni Yao kutoka USA yanalipwa kutoka Azina ya Marekani, inaesabiwa ni Msaada kwa Ukraine!!!!Sema US wananufaika sana na hizi vita ... Wanauza silaha kabla na wakati wa vita halafu ikiisha bado wao ndio wanakuja kukujengea tena
Niliwahi kusema Vita hizi za wakubwa zina mamabo mengi nyuma ya pazia amabalo sisi kulijua na kulitambua kwa macho ya kawaida ni vigumu sana, kikbwa tungojee tuone mchezo unavyo kwenda.Ktk mazungumzo na The guardian, zelensky kasema atayapa kandarasi makampuni ya kimarekani kuijenga upya Ukraine baada ya vita