Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Upo sahihi 100%.Taarifa inasema "Swap" means exchanging.
Yani Ukraine ipo tayari wafanye mabadilishano ya ardhi ambayo imeichukua kutoka Urusi halafu Urusi nao wakabidhi ardhi ya Ukraine ambayo waliichukua.
Ni tofauti sana na kusema Ukraine ipo tayari kukabidhi ardhi yake kwa Urusi ili kumaliza vita.