Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

Upo sahihi 100%.
 
Hii imekaa vyema sana maana watu wanakufa sana kwenye vita wengi wao bila hatia.
 
Hii ndio habari iliyokamilika. Wengine wanaishia kati bila kumalizia alichoandika Zele.
 
Raisi WA Ukraine Vlodomir Zelensky amesema nchi yake iko tayari kutoa kipande Cha ardhi yake Kwa urusi ili kumaliza vita na uhasama baina Yao.

Chanzo: SPECTATOR INDEXView attachment 3233836
Watu wengine huwa mnapata wapi habari za uongo namna hiyo? Au kiigereza ndiyo tatizo? Au mnapotosha kwa Maksudi? Taarifa hiyo ukweli ni kuwa Ukraine italitoa jimbo la Kursk lililochukuliwa na Ukraine kutoka Russia na Russia nayo itoke kwenye maeneo waliyoyateka ya Ukraine.
 
Mwamba huyu hapa.... 🎵🎶🎶🎵mwamba huyu hapaaa🎶🎵🎵.
Alishasema hilo eneo ni la urusi forever.,😂🤣😂🤣🤣🤣👊🏿🙌
Your browser is not able to display this video.
 
Wakalimani wetu hawa
 
Wala haichoshi ,miaka miwili TU?
Mbona Afghanistan USA alikaa miaka 20.
Ni kwamba NATO wameshindwa vita.
Wamemshindwa Putin.
NATO haipo, imeshavunjwa na Trump.

Trump anamuunga mkono Putin kutwaa ardhi ya Ukraine, huku nae akijianda kutwaa ardhi za nchi zingine kama vile Gaza, Greenland, Australia nk.

Urusi na Marekani ya Trump wameungana kufanya ubabe na uonevu, na kuchukua ardhi za wengine kibabe.
 
Hamuwajui wazungu na hamuhangaiki kulazimisha kuwajua.kazi yetu ni kulumbana tu kila wanapoanzisha jambo.
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…