Zelensky: Ukraine iko tayari kutoa ardhi yake Kwa urusi kumaliza vita

Sikuwa najua...na Ukraine wana ardhi ya Urusi waliichukua... Kweli fita ni fita tu mura! 🙌
Haaaa unalinganisha square kilomita 120,000 dhidi ya square kilomita 450 hii nani atakubali kuswap hapo hizo 450 yaani km 22 x 22 hii russia akiamua ni kazi ya siku chache tu anarudisha hicho kieneo kijeshi.
 
Ila msemaji wa marekani amesema ukraine hatojiunga na nato
Na pili ukraine itaachia baadhi ya maeneo yake kwa russia
 
Sahihi kabisa Mkuu ingawa Urusi wamemjibu Zelensky kuwa asahau habari ya kuswap ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…