Zelensky: Urusi Sasa yaamua kuhamisha majeshi yake na kulinda Donbas baada kipigo kizito

Alikua anataka kwenda mpaka Kiev ila kipigo ndio kimesababisha abadili gia angani.
Nia ilikua kumtoa Zelensky
 
Exactly! Kipigo kimemchanganya. Ile ndoto ya kuteka Kyiv ndani ya masaa 72 imeyeyuka
 
[emoji1][emoji1] UKRAINE iko inashinda Vita aisee.
 
Ila Urusi anawachanganya Sana wazungu,Jana alisema anahamishia Operation yake Donbass jamaa wakadhani Ni kweli,alichokifanya akaenda kushambulia mji mwingine uitwao Lviv
ambao uko mpk mpakani na Poland ambako ilikua Ni Km 100 toka Biden alipokuwepo [emoji1][emoji1][emoji1]. Nadhani Putin alikua anamtumia salamu Biden Kwamba uwepo wako hapa karibu na boarder hakuna anaejali.

Wazungu wanalia Lia tu eti Mrusi akisema anaenda kupiga sehemu flani jua Ni muongo tu ataenda kupiga sehemu nyingine kabisaaaa.
 
Sasa unatakiwa ulete ukweli ulionao sio kusema tu uongo la sivyo utaonekana una shida ya maarifa sahii.
Mbona alisema anataka Serikali ya Zelewinsky ijiuzulu na iwe neutral , leo kabadili gear?
 
The end will justify the means...... Hakuna nachokiona hapa zaidi ya propaganda za kivita kutoka magaribi.....
 
Na Russia alisema yeyote atakaesaidia Ukraine atakiona cha mtema kuni haya poland na NATO wanamsaidia Ukraine mbona Russia kaufyata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…