Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

Mataifa ya nato zaidi wanapeleka silaha zao kimajaribio na kusafisha maghala yao.Silaha kadhaa zinasifiwa sana zikifika zinashindwa kufanya kazi.Bado hajatia akili tu huyu Zelensky.Siku yake ya kushikwa haiko mbali.
Hivi anakosa gani mpaka ashikwe? aliwakosea nini warusi mpaka wawanyonge Raia badala yakumsakanya huyo Raisi mwenyewe?
 
hanaakili kabisa☹️siraha huna unategemea misada halafu unajitia kiburi☹️hao marekani wanao kuponza wananchi wao wanakula bata wewe unawaponza wakwako kwaakili zakushikiwa?wakupe siraha zakutosha Basi sio mdomdo.kwani ukikubali yaishe kunanini☹️na unajijua kabisa uwezo huna
Kwa hiyo ukiwa raisi wa Tanzania ukivamiwa tuseme na Marekani utawakabidhi nchi maana unaogopa raia watakufa?
 
Urusi inachofanya kwa Sasa ni ugaidi, wameshindwa huko Frontline wameamua kushambulia maeneo ya kiraia......
Ni bora wange deal na wanajeshi lakini dah hadi raia wa kawaida wanaua tena bila huruma


Kuna documentary nilikua nacheki leo imerekodiwa na drone inaonesha jinsi Russia wanavyoendeleza war crimes


Kuna familia ilikua kwenye gari baba mama,mtoto na bibi ghafla wakakutana na vifaru vya Urusi,walivyo jaribu kugeuza warusi wakapasua tairi za gari kwahyo gari ikabaki imesima wakaanza kuimiminia risasi yule mama alimlalia mtoto ili risasi zisimpate mtoto mama akafa hapo hapo baba akatoka nje ya gari akanyoosha mikono juu lakini walimchapa risasi bila huruma akafa hapo hapo

Wakautoa ule mwili wa baba wakautupa pembeni mwa barabarani halafu ile gari wakailipua

Mtoto alipona na bibi wakawatoa wakawapeleka porini sijui nini kiliendelea huko inasikitisha sana
 
Mrusi ni mchoyo, kweli ana technology lakini hapendi kuogawa.

Ukienda kusoma kwao wakikuona kichwa mwisho wanakufyatua.
Angalia wengia walioenda kusoma urusi walivyo

Hawa majamaa hawafai na hata walitaka kutuchelewesha bahati nzuri tulishtuka mapema.
 
Acha dharau. Jibu kama unaweza kw huwezi acha matusi. Hakuna popote nilipokutukana. Nimekuuliza swali rahisi tu ukiwa wewe ni raisi utaachia nchi kisa adui ana nguvu kukuzidi? Hakuna nilikokuvunjia heshima so acha dharau
pita hivi👈maneno mengi sitaki
 
Mrusi ni mchoyo, kweli ana technology lakini hapendi kuogawa.

Ukienda kusoma kwao wakikuona kichwa mwisho wanakufyatua.
Angalia wengia walioenda kusoma urusi walivyo

Hawa majamaa hawafai na hata walitaka kutuchelewesha bahati nzuri tulishtuka mapema.
Someni makwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom