Zelensky wa Ukraine alia tena, asifu ujasiri wa watu wake

Mataifa ya NATO zaidi wanapeleka silaha zao kimajaribio na kusafisha maghala yao. Silaha kadhaa zinasifiwa sana zikifika zinashindwa kufanya kazi. Bado hajatia akili tu huyu Zelensky. Siku yake ya kushikwa haiko mbali.
Atashikwa lini???Mbona toka mwaka juzi mnasema hivyo kaka
 
Marekani hana tofauti na saudia au irani au yeye tu kafir ndio devil kaka??
 
Anhaa mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya politics lakini hicho ndo nilichokiona na ilikuwa ni documentary

Kama ni ya kweli au ya kutengenezwa basi sifahamu
 
Vipi zile propaganda za waziri wa mambo ya nje wa Iraq kipindi cha Saddam um3zisahau kaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bas vijana wangu msigombane🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣CCM oyeeee
 
Huyu atakuwa anaamini Marekani walikwenda mwezini 1969 kwa ile video ya uongo.Usicheze na America kwa propaganda na kujitutumua kutaka kuonesha watu wao ndio watawala wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…