Zelenskyy na wenzake kimya hawajarusha tena makombora yao baada ya kitu kizito Oreshnik kutua ukraine kwa dakika 15, umbali km 1000

Hakuna mfumo wowote wa Ulinzi unaweza zuia mabomu/makombora makubwa ni stori za kunidanganya tuu
 
Kuna watu wanadhani Rusia n
Tuliza mpira, mambo yanajiseti, France jana pia ametangaza silaha zake zipige popote Russia, nadhan hujafuatilia vizuri jana zaidi ya mizinga 15 imetua kwenye ardhi ya Russia em jifunze kupitia kwanza vyombo vya habari ndio uje na uputini wako hapa
i mtemi hivyo ,kumbe ni WA kawaida tu , yeye Rusia Kila akipigwa kidogo anakuja na toleo jipya la silaha ndo ujue ya kuwa ni mweupe ,wenzie wanamsoma tu kwamba yeye ndo wa kwanza kuwa na hypasonic ?wenye mizigo wametulia ,yeye mayowe mengi ,kamaliza kuuwa jeshi lake lote Sasa ana ya na la mjinga mwenzie noth Korea ,ndo ujue Hana lolote ni mbwembwe tu
 
Hakuna vita nchi inapigana yenyewe, hata Russia ipo supported na North Korea, Iran na China. kinachohofiwa ni nuclear war ila Putin angeweza kuchakazwa ndani ya wiki tu.
 
Majeshi ya Zele yanajificha kwenye maeneo ya huduma za kiraia na makazi ya raia na Putin ana heshimu sheria za kimataifa zahaki za kibinadamu,hawezi shambulia maeneo ya raia, angeamua kulevel majengo mpaka magofu yangekuwa yameotesha nyasi na majani
Kabisa,na ukizingatia hao ni ndugu zake,ivyo anapigana nao kistaarabu sana.
 
Unaelewa maana ya neno niliacha kufuatilia? Halafu hapo unipe kazi ya kijinga kabisa nitafute link Kwa sababu ya ujinga wako?
Ama kweli kichwa chako kimejaza mavi mtupu.
wajinga km ww mpo wengi , HAMJUI TOFAUTI YA NUKUU ILIYOTOLEWA NA BBC vs KAULI ILIYOTOLEWA NA BBC
 
Hivi mashabiki wa Putin hamuoni aibu taifa lenye nguvu za kijeshi Russia kushindwa kuiteka Ukraine kwa miaka3??
Marekani ilitumia muda gani kuiteka Afghanistan na Iraq 🇮🇶?

Marekani haijawahi kuiteka Afghanstan wala Iraq. Russia imeiteka Ukraine na imechukua eneo kubwa la Ukraine sawa na ukubwa wa nchi mojawapo ya Ulaya. Marekani imeteka eneo lenye ukubwa gani la Afghanstan na Iraq?
 
Mrusi na Yemen kuwashinda vita ni miujiza sana 😢 😅
 

View: https://x.com/bbcswahili/status/1860677297012904225?t=3mOn0OOpbfFy9Pw4QTk8Sg&s=19
 
Kayataka wacha yamkute
 
Marekani haijawahi kuiteka Afghanstan wala Iraq. Russia imeiteka Ukraine na imechukua eneo kubwa la Ukraine sawa na ukubwa wa nchi mojawapo ya Ulaya. Marekani imeteka eneo lenye ukubwa gani la Afghanstan na Iraq?
Kojoa kalale kumbe wa bado mtoto
 
Hata kama ni wewe lazima muitishe kwanza vikao mjadili kilichotokea
 
Vita ikiwa inaanza putin alisema hatomaliza wiki atachukua ukraine yote sasa mwaka wa 3 huu
Tatizo sio Ukraine tatizo anapigana na US, UK, Germany, France, Canada, etc.. wote hawa wanapigana na Russia ndani ya ardhi ya Ukraine.
Hawa wote wamepeleka silaha zao kuzitest hapo Ukraine
Yani Zelensky ni raisi Fala kabisa kuruhusu nchi yake kuwa kifusi kwa majaribio ya silaha za wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…