Zelesnky ni Rais bora duniani kwa mwaka 2025 na hatokaa atokee

Zelenskyy: Tutajiunga na NATO.
Trump: Hakuna kujiunga na NATO.

Sijui vita vya Ukreni vimemsaidia nini Zelenskyy?
 
Kabisa mkuu huyo jamaa ni mtu na nusu wanamdharau bure tu ila IPO siku watampa heshima yake si unajua duniani tumejaa wanafiki wanasubiri mpaka siku ukate roho ndio wakupe sifa zako.
 
Kabisa mkuu huyo jamaa ni mtu na nusu wanamdharau bure tu ila IPO siku watampa heshima yake si unajua duniani tumejaa wanafiki wanasubiri mpaka siku ukate roho ndio wakupe sifa zako.
100 perc mkuu
BBC wachambuxi wameapa hatotokea RAISI kama yule kukiwasha white house bila kuangalia Yuko na nani
Kwa MASLAHI ya watu wake

Nkashangaa mapopompo wanamshabikia trump n ujuha

We unaweza itaa kagamae aende USA umwambie Saini hapa nataka madini yakoo atakufyonza anaamka anaondoka

Kwanza amemheshimu sana kujibishana KOTE woii

Ee Mungu nyanyua watu kama Hawa DUNIAN

Nimekumbuka sana magu mwemdazake alivyokuwa akiwapasha hahahaahaa
 
Sana mkuu tena huyo mtu ni jinga jinga halijui kitu. Can you imagine watu waliokufa kwa vita ya kijinga
Watu kama nyinyi mko radhi mbakwe familia nzima kisa jambazi lililoingia ndani ya nyumba yenu Lina nguvu na silaha.

Msimamo na kupambana mpaka mwisho ndio sifa ya mwanaume rijali haijalishi adui yako ana nguvu kiasi Gani
 
Kabisaaaaaaa
Hawa paka wameondolewaaa USAID kidogooooo wanapigaa kelelee kila Kona

Mwamba hayo mambooo hayaajuii Wala hayategemeiiii.....
 
Tapeli akishirikiana na mwenzie WA Russia wakajipanga
Kufanya sherehe kukamata madini ya Ukraine hahahaaabila hatia

Kwa kifupii tu MKIWA na akili timamu
Hili Dili la madini n la Russia na wenzie

Dogo kanusa kama UNATAKA madini nihakikishie ulinzi

Dogo angejitosa kusaini NAKWAMBIA Russia wangeingia kama chooni palee

Rooho WA Bwana yu juu ya Zelesnky umempaka mafuta KICHWANI mwkae
Na kikombe chake kikafurikee

Ameen
Ameen
Ameenn
 
Weka hoja na sio vihoja matusi ya nini sasa
 
Trump ni Gemini na Zelensky ni Aquarius.

Ukishajua udhaifu wa Gemini, Gemini hawawezi kukusumbua. Udhaifu wa Gemini ulishawahi kuletwa humu JF na Likud, Likud alikiri kuwa yeye ni Gemini na kunena namna ambavyo udhaifu ule huwa unawatesa Gemini kisiri siri.

Udhaifu huo wa ki-Gemini pia nimeuona kwa Trump na Bantu Lady

Udhaifu wa Gemini ni kwamba Gemini huwa wanaendeshwa na ego(Gemini are being driven by ego most of the time).

Infact,themes around ego-death are strong in aquarian energy of Zelensky.

All the world is looking at Zelensky in his conflict with Trump,Rais Zelensky asimamie kile anachokiamini kuwa ni kweli and that is enough for him.
 
Trump sio kiongozi na Hana sifa za uongozi na Hilo lilidhihirika Toka alivyokuwa rais kwa mara ya kwanza, sijui kwa Nini wamarekani walimludisha Tena ikulu.

Ni mtu mjeuri,mbabe asietumia busara hata kidogo, mtu wa visasi sana yani kama mswahili. Hebu fikiria kwenye mkutano wanamuuliza zelensky "eti kwa Nini ulikuwa timu ya Kamala na ulimfanyia kampain Kamala?? Seriously?? Maswali ya kijinga kama hayo tumezoea kuyasikia kwa wanasiasa wetu wa huku uswekeni wakiwaadhibu watu ambao hawakuwaunga mkono pengine kwa kupishana mitazamo, ajabu juzi taifa kubwa kama marekani viongozi wake wanauliza maswali ya kitoto kabisa...! Hawa wazungu tunawakuza tu lkn pengene Iq zao ni kama zetu tu.
 
Kumbuka Zelensikky
Watu kama nyinyi mko radhi mbakwe familia nzima kisa jambazi lililoingia ndani ya nyumba yenu Lina nguvu na silaha.

Msimamo na kupambana mpaka mwisho ndio sifa ya mwanaume rijali haijalishi adui yako ana nguvu kiasi Gani
Marco Polo haujanielewa. Kilichopo ni kuwa Russia hataki vita, mi sijashabikia russia kuikalia ukraine. Ni sawa na Zanzibar ajiunge na waislamu halafu pawe makao makuu ya ugaidi, hahaha bara haitaruhusu na watapigwa tu wanajifanyw kuleta uislamu wa kigaidi
 
Vita ya kijinga russia ndo aliyoivamia ukraine kwa hiyo ulitaka waukraine waikimbie nchi yao baada ya kuvamiwa ili wakufurahishe wewe mshabiki wa putin
Ukraine kumbuka walikuwa na rais aliyekataa kabisa kuwa kibaraka wa usa na eu, ila alipinduliwa akaja huyu shoga na ndiyo vita unayoiona
 
Ukraine kumbuka walikuwa na rais aliyekataa kabisa kuwa kibaraka wa usa na eu, ila alipinduliwa akaja huyu shoga na ndiyo vita unayoiona
Acha uongo tokea 2014 ukraine kuna vita ndo crimea ilichukuliwa na russia na ukraine kukaliwa na waasi zelensky amekua rais 2019 unasemaje vita vilianza wakati wa zelensky kama sio uongo
 
Mojawapo ya Vijana wenye misimamo thabiti ni Zele.

Amekataa kupelekeshwa na Lile zee Lenye sura kama mdoli πŸ˜‚πŸ˜‚

Saizi Zele ndio shujaa wa Ulaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/millardayo/status/1896120635442573389?t=6Q2x-U4Oxsfz6iXexntXXQ&s=19
 
Vita ya kijinga russia ndo aliyoivamia ukraine kwa hiyo ulitaka waukraine waikimbie nchi yao baada ya kuvamiwa ili wakufurahishe wewe mshabiki wa putin
Mkuu huyu amekurupuka. Anajibu kwa hisia rather than facts. Hakika ushoga unahusiana nini kwenye hili?

Haijui historia ya hii vita. Rais wa Ukraine anaitetea anaisemea anailinda nchi yake na watu wake kwa heshima nyingi mno. Yupo humble respectful na makini.

USA wanalikoroga wenyewe. Let them feel the pinch tukuwaambia tawala za Afrika ni mtihani watuelewe.
 
Zelensky ameonyesha Uzalendo wa kuifia nchi kwa ulimwengu huu wa Sasa.
 
Unadhani ni kwa nini Ukrein walitaka kujiunga NATO?

Jimbo la Crimea limetekwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…