Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
No Trump na team yake wapo poa. Sema wewe na wenzako mmekaririshwa uongo uongo. Yaani ni mjinga pekee atakayeshabikia ukrain kuendeleza vita kwa maslahi ya usa na eu. Ukraine has benefited nothing kabisa kwenye hii vita. Na kauli yake ilipaswa kusema no NATO wala psingekuwa na vita
Nina mashaka sana kama unaelewa kilicho tokea kwenye mkutano wa Trump na Zelensky na pia kama umeuelewa uzi hu tunao changiaMkuu alipaswa kuvaa suit huo ujinga wake ni wa huko huko nchini kwake. In fact jifunze, usipende kujionesha/kujisemea matatizo yako kwa watu hakuna wa kukuonea huruma!