Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
North Korea .Taifa gani limemsaidia Russia wanajeshi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
North Korea .Taifa gani limemsaidia Russia wanajeshi?
wanajeshi wa North korea wapo ukraune wanaisaidia russia
OkHizo ni ropaganda hakuna ukweli wowote kwenye hilo
Marco Polo
Hata Ukraine kusaidiwa ni Propaganda hakuna ukweli wowote,Hizo ni ropaganda hakuna ukweli wowote kwenye hilo
Marco Polo
ndugu, zelesky ni rais bora kuliko trump. binafsi nampenda trump kwa mambo mawili tu, kwanza anapinga ushoga, pili anapinga kutoa mimba. mengine yooote trump hana faida yeyote kwa wamarekani na dunia nzima. huwezi kuona mwenzako yupo vitani ukamwita aje kwako na kumlazimisha asaini mkataba, kitu kinachoitwa mkataba hata kisheria hautakiwi kuwa wa lazima au kuwa influenced na kitu chochote, pale alikuwa analazimisha haukuwa mkataba wa hiari ule. namsifu sana zelesky. kitu kingine, zelesky ni rais wa nchi, huwezi kumbananisha vile rais wa nchi anayewakilisha waukraine mbele ya tv as if unaongea na mtoto wako kibaka, zaidi ya yote unamruhusu hata vice president amdhalilishe rais mwenzio mbele ya macho ya dunia. mimi ningekuwa zelesky kwanza ningemwambia yule makamu wa trump asubiri awe rais ndio awe na mapafu ya kuongea vile kwangu, na kwa habari ya trump ningemuuliza tu kama anafikiri anaongea na rais wa nchi au anaongea na watoto wake? hajui kama uwepo wa zelesky pale ni uwepo wa nchi ya ukraine? na pia trump na wamarekani wote wanaposema zelesky ameleta dharau kubishana na trump kwenye oval sijui nini, walitaka nani adharauliwe? mbona wao amemdharau waziwazi kwenye oval? wao ni nani kwamba wanajivika haki ya kudharau wengine na wasijibiwe? na amewanyoosha.Ukiona mtu anamsifia zelensky jua huyo mtu yupo mbali sana na ukweli
Hapa mm ndo nnaposhindwa kuwaelewa wabongo wenzangu. Yakwetu yametushinda naona.Siasa za Ccm na Chadema zimewashinda,sasa mnaanza kuropoka kuhusu siasa za ulaya na marekani nila hata reference ya wanazuoni bali ni hisia zenu tu!!
Wamejaaa hisia badala ya kutumia akili.. no wonder kila sku yanaichagua CcmHapa mm ndo nnaposhindwa kuwaelewa wabongo wenzangu. Yakwetu yametushinda naona.
Mtu kama wewe nikikujibu napoteza muda wangu tu sababu umetanguliza hisia zako mbele.... Wewe lala ulipolalandugu, zelesky ni rais bora kuliko trump. binafsi nampenda trump kwa mambo mawili tu, kwanza anapinga ushoga, pili anapinga kutoa mimba. mengine yooote trump hana faida yeyote kwa wamarekani na dunia nzima. huwezi kuona mwenzako yupo vitani ukamwita aje kwako na kumlazimisha asaini mkataba, kitu kinachoitwa mkataba hata kisheria hautakiwi kuwa wa lazima au kuwa influenced na kitu chochote, pale alikuwa analazimisha haukuwa mkataba wa hiari ule. namsifu sana zelesky. kitu kingine, zelesky ni rais wa nchi, huwezi kumbananisha vile rais wa nchi anayewakilisha waukraine mbele ya tv as if unaongea na mtoto wako kibaka, zaidi ya yote unamruhusu hata vice president amdhalilishe rais mwenzio mbele ya macho ya dunia. mimi ningekuwa zelesky kwanza ningemwambia yule makamu wa trump asubiri awe rais ndio awe na mapafu ya kuongea vile kwangu, na kwa habari ya trump ningemuuliza tu kama anafikiri anaongea na rais wa nchi au anaongea na watoto wake? hajui kama uwepo wa zelesky pale ni uwepo wa nchi ya ukraine? na pia trump na wamarekani wote wanaposema zelesky ameleta dharau kubishana na trump kwenye oval sijui nini, walitaka nani adharauliwe? mbona wao amemdharau waziwazi kwenye oval? wao ni nani kwamba wanajivika haki ya kudharau wengine na wasijibiwe? na amewanyoosha.
Huu uandishi sio wa Pdidy ninayemjua, naamini mods wamefanya kazi kubwa kuhaririKama bara la Afrika tungejali mali za wananchi wetu, tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana.
Kuhusu yale majibizano, Trump amefeli vibaya mno, kwani kwa mara ya kwanza katika historia, BBC inasema haijawahi kutokea—na huenda isitokee tena—Rais wa Marekani kujibiwa kwa urahisi namna hiyo mbele ya Ikulu yake. Jambo hili linapaswa kuwa somo kwa marais wa mataifa mengine wasikubali kuuza utu wao kwa mabeberu kijinga.
Nasema wazi kwamba Trump hatathubutu tena kuonyesha mazungumzo yoyote na Zelensky, na hata akifanikiwa kuongea naye tena, sina shaka hana hamu. Naamini hata kanisani leo hajaenda, bado anawaza yale majibizano, maana waliomdhania ni mtu wa kusaini makaratasi bila kuuliza maswali walijikuta wakikosea vibaya.
Licha ya uwezo wake wa kudhibiti mitandao ya kijeshi, bado ataendelea kuwa mgombea bora wa urais wa 2025, lakini hakuweza kufanikisha lengo lake kwa sababu huwezi kumwita mtu dikteta kisha umualike Ikulu ukidhani utachukua rasilimali zake kirahisi, jambo ambalo haliwezi kutokea katika bara fulani.
Pale alipomwambia huwezi kucheza na ‘strong cards’, alijibiwa kwa wepesi, "Sikuja hapa kucheza kadi." Kwa kweli, Trump alijuta kumwita yule bwana Ikulu, maana walizoea kudharau viongozi wa bara letu, wakiweka masharti ya kishenzi na kubeba mali zetu bila upinzani.
Hakuna sehemu amenifurahisha kama pale alipomwambia, "Unagamble na vita ya dunia ya tatu," kisha akajibiwa kwa ujasiri, "Trump, kwa hiyo umeniita hapa kugamble na madini ya Waukraine? Nimekuja kwa ajili ya wananchi wa Ukraine, mali zao na ulinzi wao, na kama hakuna sehemu ya kuwalinda kwenye mkataba huu, basi naomba niondoke."
Jambo hili linapaswa kuwa funzo kwa viongozi wa Afrika, hata kidogo tu, kwa sababu somo hili halihitaji hata diploma.
Kwa kweli, mwanangu mtarajiwa namsubiri Mei nimpe jina la Zelensky, nikimshukuru mama yake kwa kukubali jambo hili. Viva Ukraine, Viva Zelensky, maana Trump alimdhania kama USAID au UNAIDS, mtu wa kupelekeshwa kirahisi, lakini alikutana na moto!
Loliondo wamasai wapo msomela muda huu wanacheza singeliKama bara la Afrika tungejali mali za wananchi wetu, tungekuwa tumepiga hatua kubwa sana.

Unazungumzia watu kufa vitani we poyoyo, vietnama wa marekani wangapi wamekufa, nenda iraq, afganistan tena huyu kavamiwa bado unataka akae tu aangalie asipambane?Sana mkuu tena huyo mtu ni jinga jinga halijui kitu. Can you imagine watu waliokufa kwa vita ya kijinga
Pimbi mkubwa, nani kavamiwa usiwe na nyege kalio. Unakaririshwa ujinga. Hiyo issue ya Ukraine kujiunga NATO haitakiwi wanajuana wakubwa. Pia ujue Zelenskyy aliwekwa na USA na aliyekuwepo aliondolewa ili aje rais mjinga wa kukubali vita. Uwe na uelewa pimhi weweUnazungumzia watu kufa vitani we poyoyo, vietnama wa marekani wangapi wamekufa, nenda iraq, afganistan tena huyu kavamiwa bado unataka akae tu aangalie asipambane?
Kweli kama akili ispokufaa ujinga ni halali yako
Haitakiwi na nani we msukule unayechambia majani huko kijijini kwenu, shwaini wewe, dunia ya leo unataka ulete masharti kwenye nchi ya watu?Pimbi mkubwa, nani kavamiwa usiwe na nyege kalio. Unakaririshwa ujinga. Hiyo issue ya Ukraine kujiunga NATO haitakiwi wanajuana wakubwa. Pia ujue Zelenskyy aliwekwa na USA na aliyekuwepo aliondolewa ili aje rais mjinga wa kukubali vita. Uwe na uelewa pimhi wewe
Pimbi kalagabao mkubwa. Wao walikuwa na makubaliano yao. Hebu Zanzibar wajifanye wanataka uhuru wao mbona mwaka 2000 tuliwapiga mpaka wengine wakakimbia ukimbizi hahaha umesahau hahahHaitakiwi na nani we msukule unayechambia majani huko kijijini kwenu, shwaini wewe, dunia ya leo unataka ulete masharti kwenye nchi ya watu?
Makubaliano ya kumziuia mwenzako asiwe na uhuru wake ni upumbavu tu we mbweha zelensky kagoma sasaPimbi kalagabao mkubwa. Wao walikuwa na makubaliano yao. Hebu Zanzibar wajifanye wanataka uhuru wao mbona mwaka 2000 tuliwapiga mpaka wengine wakakimbia ukimbizi hahaha umesahau hahah