Zelesnky ni Rais bora duniani kwa mwaka 2025 na hatokaa atokee

Ukiona mtu anamsifia zelensky jua huyo mtu yupo mbali sana na ukweli
ndugu, zelesky ni rais bora kuliko trump. binafsi nampenda trump kwa mambo mawili tu, kwanza anapinga ushoga, pili anapinga kutoa mimba. mengine yooote trump hana faida yeyote kwa wamarekani na dunia nzima. huwezi kuona mwenzako yupo vitani ukamwita aje kwako na kumlazimisha asaini mkataba, kitu kinachoitwa mkataba hata kisheria hautakiwi kuwa wa lazima au kuwa influenced na kitu chochote, pale alikuwa analazimisha haukuwa mkataba wa hiari ule. namsifu sana zelesky. kitu kingine, zelesky ni rais wa nchi, huwezi kumbananisha vile rais wa nchi anayewakilisha waukraine mbele ya tv as if unaongea na mtoto wako kibaka, zaidi ya yote unamruhusu hata vice president amdhalilishe rais mwenzio mbele ya macho ya dunia. mimi ningekuwa zelesky kwanza ningemwambia yule makamu wa trump asubiri awe rais ndio awe na mapafu ya kuongea vile kwangu, na kwa habari ya trump ningemuuliza tu kama anafikiri anaongea na rais wa nchi au anaongea na watoto wake? hajui kama uwepo wa zelesky pale ni uwepo wa nchi ya ukraine? na pia trump na wamarekani wote wanaposema zelesky ameleta dharau kubishana na trump kwenye oval sijui nini, walitaka nani adharauliwe? mbona wao amemdharau waziwazi kwenye oval? wao ni nani kwamba wanajivika haki ya kudharau wengine na wasijibiwe? na amewanyoosha.
 
Siasa za Ccm na Chadema zimewashinda,sasa mnaanza kuropoka kuhusu siasa za ulaya na marekani nila hata reference ya wanazuoni bali ni hisia zenu tu!!
 
Siasa za Ccm na Chadema zimewashinda,sasa mnaanza kuropoka kuhusu siasa za ulaya na marekani nila hata reference ya wanazuoni bali ni hisia zenu tu!!
Hapa mm ndo nnaposhindwa kuwaelewa wabongo wenzangu. Yakwetu yametushinda naona.
 
Search Jeffrey Sachs huko you tube than msiklze ndo mtapata ufahamu wa siasa za ulaya na marekani…toka 1990s
 
Mtu kama wewe nikikujibu napoteza muda wangu tu sababu umetanguliza hisia zako mbele.... Wewe lala ulipolala
 
Huu uandishi sio wa Pdidy ninayemjua, naamini mods wamefanya kazi kubwa kuhariri
 
Zelensky ni rais wa mfano, na katika hili anapaswa kupongezwa na kila mtu. Hivyo ndivyo rais wa nchi anapaswa kusimama. Hakuwa na uoga, wala aibu au unafiki. Kamgomea Trump ndani ya ikulu ya USA wazi wazi tena hadharani. Ule ni ujasiri wa kiwango cha juu mnoo.
 
Loliondo wamasai wapo msomela muda huu wanacheza singeli
 
Sana mkuu tena huyo mtu ni jinga jinga halijui kitu. Can you imagine watu waliokufa kwa vita ya kijinga
Unazungumzia watu kufa vitani we poyoyo, vietnama wa marekani wangapi wamekufa, nenda iraq, afganistan tena huyu kavamiwa bado unataka akae tu aangalie asipambane?

Kweli kama akili ispokufaa ujinga ni halali yako
 
Pimbi mkubwa, nani kavamiwa usiwe na nyege kalio. Unakaririshwa ujinga. Hiyo issue ya Ukraine kujiunga NATO haitakiwi wanajuana wakubwa. Pia ujue Zelenskyy aliwekwa na USA na aliyekuwepo aliondolewa ili aje rais mjinga wa kukubali vita. Uwe na uelewa pimhi wewe
 
Haitakiwi na nani we msukule unayechambia majani huko kijijini kwenu, shwaini wewe, dunia ya leo unataka ulete masharti kwenye nchi ya watu?
 
Haitakiwi na nani we msukule unayechambia majani huko kijijini kwenu, shwaini wewe, dunia ya leo unataka ulete masharti kwenye nchi ya watu?
Pimbi kalagabao mkubwa. Wao walikuwa na makubaliano yao. Hebu Zanzibar wajifanye wanataka uhuru wao mbona mwaka 2000 tuliwapiga mpaka wengine wakakimbia ukimbizi hahaha umesahau hahah
 
Pimbi kalagabao mkubwa. Wao walikuwa na makubaliano yao. Hebu Zanzibar wajifanye wanataka uhuru wao mbona mwaka 2000 tuliwapiga mpaka wengine wakakimbia ukimbizi hahaha umesahau hahah
Makubaliano ya kumziuia mwenzako asiwe na uhuru wake ni upumbavu tu we mbweha zelensky kagoma sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…