Napita tu na msemo huu"mti wenye matunda ndo una0pigwa mawe siku zote"
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.
Na wewe hebu ficha ujinga wako, Zembwela ana uwezo wa kukuelimisha nini? yeye ndio anahitaji kuelimishwa na kipindi kinachomfaa ni kile cha kwenye TV cha Uswazi, kwa sababu yeye mwenyewe mswazi, nyinyi ndio wale wale mnaopigaga simu redioni na kuanza kuwaamkia madogo kama kina Zembwela.binafsi namkubali sana jamaa cuz anajua na kupitia kipaji chake labda sio fani anaelimisha wengi na tunajifunza mengi kupitia yeye,mengine hayo niya kibinadamu zaidi ambayo mtu awaye yeyote anaweza kuwa nayo.