GOKILI
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 632
- 438
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.