Zembwela acha hizo

Zembwela acha hizo

GOKILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
632
Reaction score
438
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.
 
Anaweza kuwa na kipaji, lakini hiyo ni fani , je huyo Zembwela amesomea fani hiyo?
 
Sema alichotamka. Kama anaongelea mambo ya Kwa Mnyamani na Kwa Tumbo acha abwabwaje, maana ni full uswazi anyway!
 
u r right. Hawapi nafasi wale wanaotofaitiana na yeye
 
Napita tu na msemo huu"mti wenye matunda ndo una0pigwa mawe siku zote"
 
Napita tu na msemo huu"mti wenye matunda ndo una0pigwa mawe siku zote"

binafsi namkubali sana jamaa cuz anajua na kupitia kipaji chake labda sio fani anaelimisha wengi na tunajifunza mengi kupitia yeye,mengine hayo niya kibinadamu zaidi ambayo mtu awaye yeyote anaweza kuwa nayo.
 
zembwela yuko poa ila ni kweli kuwa uwa hataki mtu apingane na kile anachokiamini yeye kama kibonde vile.
lakini still namkubari
 
Nasikiliza sana east africa radio hasa kipindi cha zembwela,
kwa kweli amejirekebisha sana siku hizi
tena ni mtangazaji mzuri na mpiga debe mzuri,
hapa juzi amehaha kupata tiketi ya kumrudisha bi matumaini bongo ili aje kupata matibabu
haki yake mpeni zembwela ni mtangazaji mzuri sana.
 
anachoniboa tu ni kitendo chake cha kuiga kuongea kwa minato kama vile anavyotangaza Dulla wa planet bongo, Mussa, akina b12 na Mully B...
 
Namzungumzia mtangazaji wa kipindi cha supermix kinachorushwa hewani na EARadio.Nimekuwa msikilizaji wa kipindi hiki kwa muda mrefu toka kilipokuwa kinaendeshwa na Musa.Ninachokiona kwenye utangazaji wa Zembwela ni sawa sawa na ile style ya mtangazaji wa people station ambae haipiti mwezi watu humzodoa.Zembwela jirekebishe majibu ya mkato,kejeli na dharau siyo kabisa.Pia kujifanya kila kitu unajua wewe tu wengine mafisi pia sio.Muungwana ni vitendo badilika.

ungeweka alichokifanya na siyo kulalamika tu!
 
Ni kweli bw Zembwela anasumbuliwa na tatizo la "much know" samahani kutumia neno tulilozoea kutumia sana huku uchagani. Lakini otherwise ni kati ya watangazaji wanaojitahidi ukilinganisha na wengi tulionao. Big up yeye na G Handle, ups sorry Hando wa "ze pipo stesheni"......
 
Kama mwandishi wa Habari na mtangazaji lazima atafute uniqueness kwa public. The way he behaves is unique na baadhi inawavutia na wengine inawaboa! Mi namuona kama ana bifu la kimya kimya aina fulani ya tabia kama utozi uliopitiliza, majidai, maisha kuigiza n.k.

BabaL
 
sipendi anavyoongea na kujifanya anajua kumbe hajui..otherwise arudi kuchekesha na wale wenzake
 
binafsi namkubali sana jamaa cuz anajua na kupitia kipaji chake labda sio fani anaelimisha wengi na tunajifunza mengi kupitia yeye,mengine hayo niya kibinadamu zaidi ambayo mtu awaye yeyote anaweza kuwa nayo.
Na wewe hebu ficha ujinga wako, Zembwela ana uwezo wa kukuelimisha nini? yeye ndio anahitaji kuelimishwa na kipindi kinachomfaa ni kile cha kwenye TV cha Uswazi, kwa sababu yeye mwenyewe mswazi, nyinyi ndio wale wale mnaopigaga simu redioni na kuanza kuwaamkia madogo kama kina Zembwela.
 
Matola humjui vizuri Zembwela wewe..
Kama una nuda fuatilia kipindi chake kuanzia saa 3 asubuhi,maana simu si zinakamata FM bana?
 
Last edited by a moderator:
Zembwela anaonekana shule imempitia kushoto...nadhani aende shule...kichwa kitupu sana huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom