Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

Ile zama/kile kizazi ya professional jaurnalism iliondoka na kina Jacob Tesha, Mikidadi Mahamoud, Tido Mhando, and the like ikashia kwa kina Kikeke tumebaki na vilaza na chawaz. Tazama watangazaji wa sasa wote walianzia kwenye comedy do you expect kuna kitu hapo zaidi ya topechoo?, I agree na mada inayosema hatutakua tena na mtangazaji wa kibongo kwenda BBC, Deutsch Welle, SABC, VOA etc tena, wataenda wakenya tu. Sisi tutabaki na mawingu tu na wachafu kusafisha ufisadi na kupamba maua wamama
 
Ungeanza kwa kutuwekea elimu ya Kikeke kwanza ndo uandike haya uloandika, jifunze kufanya tafiti mkuu.
 
Haya nimatokeo ya waandishi kuingia na maelekezo leo tulitarajia kwa serious media personal tumuone bwana Balile ambae alikua mwenyekiti wa ile kamati ya kuvamiwa clouds mengine ni siasa tu
 
Lile lolikuwa igizo la bashite zero brain .
Huyu bashite utafikiri haelewi hata nafasi yake ya u RC muda wote anafanya siasa za kijinga .
Ila tatizo ni Elimu na pia anajistukia huyu ni criminal ambaye yupo uraiani tusubiri tu huyu bashite atakuja kufungwa jela
 
Sasa bashite na zembwela SI ndio wanaofanana. Tatizo ni Kwa hao professional kukubali Hilo litokee mbele yao
Hata wandishi wa habari walio kwenda kusikiliza mwendawazimu makonda nao ni wendawazimu. Hivi kweli jambazi ambaye hajakamatwa anaweza kuitisha press ili ahojiwe kama ni jambazi au sio jambazi na watu wenye akiri wakakubali kwenda kumuhoji?
 
Leo form four failure mmeshikamana sana. Mtushambulie mpaka tukome.
 
Ww wakike au wakiume?
Sijibugi maswali ya kijinga , inahusu nini huku kwenye anonymous world.
Nipo anonymous unataka nijitambulishe gender yangu so what? Utakuwa hujielewi wewe ungeandika tu ulichotaka kuandika sio kuulizana maswali irrelevant.
Itakuwa huelewi hata maana ya Annonymous Identity
Ila huku mitandaoni tunakutana na watu wajingawajinga sana kama wewe sasa nipo anonymous ,au huelewi maana yake?
Ngoja nilog off nimalizie kuangalia game ya italy na france
 
Zambwela amejitahidi sana. Tumempenda bure
 
Mkuu dunia ya sasa tunatakiwa tubadilike. Ata ukitaka kuajiri kwenye ofisi yako angalia mtu mwenye uwezo na sio mavyeti. Kuna karama kila binadamu kapewa.

Usikariri.
PROFESSIONALISM ni muhimu Sana kila taaluma ina ETHICAL ISSUES.

Eg.

From know where huwezi mchukua mtu wa uvuvi aongoze media house so kina zembwela kwa kua wanaongea Sana wameamua kusaka ugali wao kupitia media.
 
He managed well and was brilliant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…