Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Ile zama/kile kizazi ya professional jaurnalism iliondoka na kina Jacob Tesha, Mikidadi Mahamoud, Tido Mhando, and the like ikashia kwa kina Kikeke tumebaki na vilaza na chawaz. Tazama watangazaji wa sasa wote walianzia kwenye comedy do you expect kuna kitu hapo zaidi ya topechoo?, I agree na mada inayosema hatutakua tena na mtangazaji wa kibongo kwenda BBC, Deutsch Welle, SABC, VOA etc tena, wataenda wakenya tu. Sisi tutabaki na mawingu tu na wachafu kusafisha ufisadi na kupamba maua wamama