Zembwela amewezaje kuwa Mwenyekiti wa waandishi wa habari katika Kikao cha Makonda Arusha badala ya Kikeke na Ivona Kamuntu?

Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Makonda ana roho ya uchawa lazima aweke chawa mwenzake
 
Makanjaja na chawaz hawa?
 
Mkuu dunia ya sasa tunatakiwa tubadilike. Ata ukitaka kuajiri kwenye ofisi yako angalia mtu mwenye uwezo na sio mavyeti. Kuna karama kila binadamu kapewa.

Usikariri.
Sio Kila sehemu ina_apply hivyo. Uzoefu wa Kazi pia ni nyongeza baada ya vyeti kuwa vimethibitisha kuwa umesomea hiko unachodai kusomea.
 
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Acha uongo hao uliowataja wote waliuliza maswali kuanzia maswali ya msingi mpaka ya nyongeza
 
Ndio Nchi inavyoenda hivyo,Jokate kuwa Katibu UWT hushangai

Lokole kuwamtangazaji je?
Jokate ana masters ya political science, usifikirie kuwa hana elimu.

Shida iliyopo watu wanafikiri wasanii nao hawana elimu inatakiwa watu wajue kuwa kuna wasanii wana elimu kiwa sana hadi wapo wenye PhD mfano ni Dr. Gervas yule alikuwa anaigiza maigizo ya Kaole Sanaa Group
 
Zembwela ana shida gani ya utangazaji tofauti na hao wengine??
Au hiyo leo kaboronga kitu gani?
Zembwela ni mmoja wa wale machawa wa DP World waliowakodi kuwapamba hapa nchini. Hana shida na professionalism, yeye anaangalia maokoto TU. Wala simlaumu. Inalipa sana kuwa chawa siku hizi.
 
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Ndio ujue uchawi upo!
 
Jokate ana masters ya political science, usifikirie kuwa hana elimu.

Shida iliyopo watu wanafikiri wasanii nao hawana elimu inatakiwa watu wajue kuwa kuna wasanii wana elimu kiwa sana hadi wapo wenye PhD mfano ni Dr. Gervas yule alikuwa anaigiza maigizo ya Kaole Sanaa Group
Jokate na chama wapi na wapi,sio swala la elimu pekee.
 
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?

Hii tasnia haina seniority?

Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia yalianiacha na maswali badala ya majibu. Ni mkutano ambao haukuwa na mpangilio. Hakuna presentation ya utekelezaji iliyofanywa kabla ya maswali.

Bado kuna kazi ya kufanya katika kuwapika waandishi wetu.

Anyway, nadhani waandishi hao waliusoma mchezo japo kwa kuchelewa, wakaona hata kuuliza maswali ni upuuzi, wakaacha.
Chiembe hata wewe unashangaa,umesahau hii ni Tanzania,na tz ni connection ,uchawa,itikadi,mtazamo na ni wapi yalipo maslahi binafsi?
 
Sipo kumdharau Kikeke au Ivona, ubaya wa Zembwela kuwq pale ni nini?
Kila mtu akihoji kuna watakaotaka Charles angekuwa mwenyekiti maana nae anaweza kufanya kile anachokiweza kukifanya.
Wengine wangetaka Siza ndio awe lakini wote hao hamuhoji kuhusu taaluma zao.
Masoud Kipanya ni mwanahabari lakini pia ni mchoraji wa vibonzo, kuna kosa kuwa mwanahabari na kuwa mchekeshaji?
Fitna na Roho mbaya ndio tatizo kubwa la watanzania wa sasa.
Mnajinadi mna elimu lakini hakuna mlichoweza kukibadili katika nchi hii kwa miaka zaidi ya sitini ya tangu uhuru.
 
Jokate na chama wapi na wapi,sio swala la elimu pekee.
Usihangaike na wananchi.wanavyomchukulia kidoti na siasa bali unatakiwa kuangalia wenye chama wanavyomchukulia. Kuna nguvu ya waweka watawala na nguvu ya watawala hizo zisikuchanganye kiongozi
 
Sipo kumdharau Kikeke au Ivona, ubaya wa Zembwela kuwq pale ni nini?
Kila mtu akihoji kuna watakaotaka Charles angekuwa mwenyekiti maana nae anaweza kufanya kile anachokiweza kukifanya.
Wengine wangetaka Siza ndio awe lakini wote hao hamuhoji kuhusu taaluma zao.
Masoud Kipanya ni mwanahabari lakini pia ni mchoraji wa vibonzo, kuna kosa kuwa mwanahabari na kuwa mchekeshaji?
Fitna na Roho mbaya ndio tatizo kubwa la watanzania wa sasa.
Mnajinadi mna elimu lakini hakuna mlichoweza kukibadili katika nchi hii kwa miaka zaidi ya sitini ya tangu uhuru.
Wewe ndo huelewi kabisaa Tanzania ili upate connect ni lazima uwe mbumbumbu ata kama huna elimu lakini 75% ya ofisi za umma na serikali kwa ujumla kuna watu ambao hawana uwezo.lakini kuwa na cheti haimaniishi kuwa una taaluma fulani bali watu wataona utendaji wako.
 
Back
Top Bottom