Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Kumbe hujui!!! Sasa ndio nakufundisha leo mtu ukiandaa andiko la mradi then pesa ikapatikana you are entitled to 10% hizo hata huku uswahili ndio tuna charge. Kila mradi naoandikia uki tick tu napewa 10%. Ndio maana nikasema huna taarifa unaongea tu hata hujui hii miradi inaandaliwaje!!

Ndio wanaingiza hiyo pesa na zaidi, najua nachoongea maana huwa naona wanavyovuta huo mpunga huku tusio na hizo title kubwa tunaambulia makombo tu.

Teuzi hawakubali sababu ya mshahara come on ila CV ili wapate tender za consultancy zaidi. Nina rafiki yangu kateuliwa board ya TRAB halipwi pesa nyingi ila kupitia hiyo title tu hakosi mikazi ya ukaguzi mahesabu, tax consultancy za kimataifa n.k which maker her billions each year. So tufuatilie taarifa kabla ya kukariri kwamba mshahaea wa kufundisha ndio pesa pekee ya professor it makes hardly 10% ya mapato yake kwa mwaka.

Ya 2020/21 kasome CAG anapolalamika bodi ambazo 70% ni title za Doctor/Professors wanalipwa mabilion kwa vikao vichache sana. Specifically alitoa mfano wa bodi kama ya TASAC walilipana billions kwa vikao vitatu pekee!! hao kina Mpoki vikao gani watalipwa posho hiyo?

Kingine kwenye marketing mtu anakupa gari sio lako ila unatumia kubrand ile biashara kwa mkataba wa muda fulani, same kwa mavazi, furniture n.k so ukitoa hizo branding deals ukitaka kujua actual income ni ndogo sana. That's how celebrities survive nadhani ulimsikia Harmonize au Rayvanny walicholalamika kwamba unakua na jina kubwa unapewa mavazi gari n.k ila zaidi ya 70% ya mapato anakula mwingine ikiwemo digital platforms. Sasa hayo nyie hamuoni as long as kavaa mikufu basi ana hela!! Showoffs sio reality ndio maana wazungu ukiona kina hawking's, Steve jobs (RIP to them) Zuckeberg etc hawafananii pesa zao
Acha kupotosha. Ni Kwa kiasi gani Maprofesa wanapata hizo consultancies? Wengi wananeemeka baada ya Uteuzi eg. Mkumbo, Kalamaganda,
 
usd dollar milioni 2 acha Uongo hiyo hela hapati, hata KondeBoy hapati hiyo pesa acha Uongo,
Ingia instagram mrafute marobhe yuko pale TIA angalia tu maana anazipost kila siku nchi tofauti ndio urudi kubisha humu pia tembelea account ya Nakadori pale twitter anapost hizo consultancy anazofanya kila wiki ndio utabaki mdomo wazi.
kwani kufungua biashara lazima umuweke profesa ndio awe mshauri ? Hadi wenye CPA na MBA wanafanya hizo
Biashara nazoongelea sio hizi za kuuza vitenge kariakoo naongelea mfano Air Tanzania kuanza route za Uingereza au feasibility ya Tanzania kuweka oil refinery hapa Tanzania n.k hizo tender haupati unless ni Doctor au Professor Balensiaga na kwakuwa mitaji ni ya mabilion obviously consultancy fees pia zitakua juu.
nitajie exact figure ya Kila project anayolipwa profesa,na inachukua muda gani, na hiyo project inahusisha
Mkuu pita kwenye page hizo husika utaona matangazo ya hizo tender na walioshinda wanatajwa. Angalia page pia ya @ESRF yaani economic and social research foundation kila siku wanatangaza consultancy na pesa atakayopewa nashangaa. Kule consultancy moja tu inaanzia hata dollar elfu 10. Mimi binafsi mzee wangu aliwahi jenga nyumba ya kwanza kwa pesa za consultancy moja pekee na hiyo ni miaka ya elfu mbili huko. alilipwa dollar elfu 21 za enzi hizo.

Kama hujui kitu kafuatilie sio kuleta ujuaji.
 
Kumbe hujui!!! Sasa ndio nakufundisha leo mtu ukiandaa andiko la mradi then pesa ikapatikana you are entitled to 10% hizo hata huku uswahili ndio tuna charge. Kila mradi naoandikia uki tick tu napewa 10%. Ndio maana nikasema huna taarifa unaongea tu hata hujui hii miradi inaandaliwaje!!

Ndio wanaingiza hiyo pesa na zaidi, najua nachoongea maana huwa naona wanavyovuta huo mpunga huku tusio na hizo title kubwa tunaambulia makombo tu.

Teuzi hawakubali sababu ya mshahara come on ila CV ili wapate tender za consultancy zaidi. Nina rafiki yangu kateuliwa board ya TRAB halipwi pesa nyingi ila kupitia hiyo title tu hakosi mikazi ya ukaguzi mahesabu, tax consultancy za kimataifa n.k which maker her billions each year. So tufuatilie taarifa kabla ya kukariri kwamba mshahaea wa kufundisha ndio pesa pekee ya professor it makes hardly 10% ya mapato yake kwa mwaka.

Ya 2020/21 kasome CAG anapolalamika bodi ambazo 70% ni title za Doctor/Professors wanalipwa mabilion kwa vikao vichache sana. Specifically alitoa mfano wa bodi kama ya TASAC walilipana billions kwa vikao vitatu pekee!! hao kina Mpoki vikao gani watalipwa posho hiyo?

Kingine kwenye marketing mtu anakupa gari sio lako ila unatumia kubrand ile biashara kwa mkataba wa muda fulani, same kwa mavazi, furniture n.k so ukitoa hizo branding deals ukitaka kujua actual income ni ndogo sana. That's how celebrities survive nadhani ulimsikia Harmonize au Rayvanny walicholalamika kwamba unakua na jina kubwa unapewa mavazi gari n.k ila zaidi ya 70% ya mapato anakula mwingine ikiwemo digital platforms. Sasa hayo nyie hamuoni as long as kavaa mikufu basi ana hela!! Showoffs sio reality ndio maana wazungu ukiona kina hawking's, Steve jobs (RIP to them) Zuckeberg etc hawafananii pesa zao
  • umesema kuwa mnatoza 10%, kwenye project kama ikitiki isipotiki je?
  • Lete sheria/kanuni inayoelekeza utozaji gharama kwa consultants ili tujue scale iliyokubaliwa kisheria/kikanuni, halafu usilinganishe kazi za huku mtaani na kazi za kitaalam kwa sababu hiyo 10% ya huku mtaani ni desturi tu watu wamejitungia tu
-Tuje Sasa kwa huyo rafiki yako ambaye Yuko TRAB, ambaye unasema kuwa kwa kigezo cha yeye kuwa TRAB anapata 'mikaguzi ' unajua kuwa Kuna Kitu kinaitwa conflict of interest? Ikitokea hiyo kampuni yake Ina kesi hapo TRAB yeye atafanyeje na huku ni mjumbe wa TRAB? na haoni kuwa ni kosa kitumia umbrella ya Taasisi ya Umma ili apate tender za auditting?
-kwa hiyo wajumbe wa hizo bodi ni Maprofesa peke yao si ndio? Umefanya utafiti wa kutosha na kugundua wajumbe ni wangapi kwenye mashirika ya Umma? Vipi kuhusu Maprofesa ambao sio wajumbe kwenye hizo bodi? Mpoki anaenda anapiga UMC masaa matatu 10m hiyo, Kuna profesa anaweza kukaa kwenye kikao akapata 10m for three hrs?
-kuhusu harmonize kwa sasa anajitegemea Yuko kwenye lebo yake ya muziki anachokipata yeye ndio anagawa kwa wafanyakazi wake tofauti na zamani alivyokuwa pale WCB, umesikia harmonize kapata tuzo 2 unajua kalipwa sh ngapi?
-
-
 
Acha kupotosha. Ni Kwa kiasi gani Maprofesa wanapata hizo consultancies? Wengi wananeemeka baada ya Uteuzi eg. Mkumbo, Kalamaganda,
Sasa mimi unanibishia wakati ndio naona gap kati yangu na wao. Mfano mwaka jana kuna tafiti tulifanya kwa siku sisi tuliowekwa kwenye mradi kama wakusanya data tu tulipewa laki unusu na mwisho wa mwezi wanakupa 1.5 na ilikua endline survey ya siku 90. Sasa imagine mabosi wa huo mradi ambao ni Doctors na professors walikunja ngapi kama wakusanya data tu tulipewa hiyo?

Mkuu kapite page ya ESRF aisee utagundua maprofessor sio wenzetu kabisa utarudi chuo kusoma upya
 
Ingia instagram mrafute marobhe yuko pale TIA angalia tu maana anazipost kila siku nchi tofauti ndio urudi kubisha humu pia tembelea account ya Nakadori pale twitter anapost hizo consultancy anazofanya kila wiki ndio utabaki mdomo wazi.

Biashara nazoongelea sio hizi za kuuza vitenge kariakoo naongelea mfano Air Tanzania kuanza route za Uingereza au feasibility ya Tanzania kuweka oil refinery hapa Tanzania n.k hizo tender haupati unless ni Doctor au Professor Balensiaga na kwakuwa mitaji ni ya mabilion obviously consultancy fees pia zitakua juu.

Mkuu pita kwenye page hizo husika utaona matangazo ya hizo tender na walioshinda wanatajwa. Angalia page pia ya @ESRF yaani economic and social research foundation kila siku wanatangaza consultancy na pesa atakayopewa nashangaa. Kule consultancy moja tu inaanzia hata dollar elfu 10. Mimi binafsi mzee wangu aliwahi jenga nyumba ya kwanza kwa pesa za consultancy moja pekee na hiyo ni miaka ya elfu mbili huko. alilipwa dollar elfu 21 za enzi hizo.

Kama hujui kitu kafuatilie sio kuleta ujuaji.
- kwa hiyo mtu akitembelea hizo Nchi ndio anapata USD dollar milioni 2 si ndio?
-nani kakudanganya kuwa mtu mwenye MBA na CPA hawezi kufanya ushauri wa kibiashara, hadi useme biashara ya vitenge
-kwa hiyo hizo consultancies za route za air Tanzania, oile refinery zinafanywa na Maprofesa wangapi, watu wengine wangapi?
-umesema consultancy 1 ni USD 10,000 ambayo ni 25m hiyo pesa ukiigawanya kwa profesa na wasaidizi wake utakuta profesa anabaki na pesa ya mboga tu
 
Sasa mimi unanibishia wakati ndio naona gap kati yangu na wao. Mfano mwaka jana kuna tafiti tulifanya kwa siku sisi tuliowekwa kwenye mradi kama wakusanya data tu tulipewa laki unusu na mwisho wa mwezi wanakupa 1.5 na ilikua endline survey ya siku 90. Sasa imagine mabosi wa huo mradi ambao ni Doctors na professors walikunja ngapi kama wakusanya data tu tulipewa hiyo?

Mkuu kapite page ya ESRF aisee utagundua maprofessor sio wenzetu kabisa utarudi chuo kusoma upya
- kuhusu hizo posho zenu za kukusanya data, nikirejea ulichosema mwanzo ulisema Maprofesa) PhD Huwa wanapata kwenye 300,000/- kama sikosei, haya chukua 300,000x30 ni 9m hiyo pesa Kina Mpoki anapata kwa masaa tu ya kufanya u-Mc,
 
Ukisoma sana unakua mjinga baada ya kuwa bora, yani katika kila kitu utaona ni vya kijinga kufanya mfano kujenga nyumba nzuri utaona ni ujinga kuwa na nyumba nzuri, kula utaona maharagwe yana faida kuliko nyama
Jamani.... Lakini si ni kweli kuwa maharagwe yana faida kuliko nyama?? Au the vice versa is TRUE 🤣🤣🤣🤣
 
- kwa hiyo mtu akitembelea hizo Nchi ndio anapata USD dollar milioni 2 si ndio?
-nani kakudanganya kuwa mtu mwenye MBA na CPA hawezi kufanya ushauri wa kibiashara, hadi useme biashara ya vitenge
-kwa hiyo hizo consultancies za route za air Tanzania, oile refinery zinafanywa na Maprofesa wangapi, watu wengine wangapi?
-umesema consultancy 1 ni USD 10,000 ambayo ni 25m hiyo pesa ukiigawanya kwa profesa na wasaidizi wake utakuta profesa anabaki na pesa ya mboga tu
Tukubali maprofesa wetu wapo Hoi kiuchumi kuliko ngumbaro walio wengi. Mara kadhaa nimesafiri ndege moja na Vice Chancellorbwa UDOM (sawa na CEO/MD wa taasisi ya Umma/kampuni) eti Prof kapanda Economy class kama Sisi Ngombaru
 
umesema kuwa mnatoza 10%, kwenye project kama ikitiki isipotiki je?
Unapewa tu flat consultancy fees tu. Hivi hauna rafiki yako yuko PwC au Deloitte kawaulize kuandaa tu questionnaire ya kuhoji wateja wa CRDB wanacharge zaidi ya dollar laki 2!! Tena questionnaire ina Maswali hayazidi 10. Kaulize hili utabaki mdomo wazi.
Lete sheria/kanuni inayoelekeza utozaji gharama kwa consultants ili tujue scale iliyokubaliwa kisheria/kikanuni, halafu usilinganishe kazi za huku mtaani na kazi za kitaalam kwa sababu hiyo 10% ya huku mtaani ni desturi tu watu wamejitungia tu
Hizo ni kama mshahara tu ni makubaliano wakati mnajadiliana unaleta CV zako wao wanaleta offer yao so kwenye malipo ndio unakua mnakubaliana kumbuka kichwa chako kinawaletea mtaji wa billion say 200 sasa wanakupaje million 2 au 3? Ni logic ya kawaida tu mbona.
Tuje Sasa kwa huyo rafiki yako ambaye Yuko TRAB, ambaye unasema kuwa kwa kigezo cha yeye kuwa TRAB anapata 'mikaguzi ' unajua kuwa Kuna Kitu kinaitwa conflict of interest? Ikitokea hiyo kampuni yake Ina kesi hapo TRAB yeye atafanyeje na huku ni mjumbe wa TRAB? na haoni kuwa ni kosa kitumia umbrella ya Taasisi
Wala hamna mgongano maana hizo consultancy wala sio za bongo hapa yeye ndio anafanya consultancy mfano TRA za huko Sudan, Malawi, kuandaa mifumo kadha wa kadhaa ya kuendesha mashauri ya kikodi n.k.
kwa hiyo wajumbe wa hizo bodi ni Maprofesa peke yao si ndio? Umefanya utafiti wa kutosha na kugundua wajumbe ni wangapi kwenye mashirika ya Umma? Vipi kuhusu Maprofesa ambao sio wajumbe kwenye hizo bodi?
Sio wote ila hakuna bodi haina doctor au professor hata watu walikua wanalalamika kwamba kwanini teuzi ni madokta tu ilihali hawana track record yoyote. Yaani a professor is more likely kuwa appointed kwenye bodi kuliko Mpoki!! Thats the logic.
Mpoki anaenda anapiga UMC masaa matatu 10m hiyo, Kuna profesa anaweza kukaa kwenye kikao akapata 10m for three hrs?
Anaweza asipate ya masaa 3 ila akapata hata million 60 kwa kazi ya siku 6 pekee. Mfano observers wa elections kuna madoctor walimchukua rafiki yangu yeye alilipwa 21 million kwa siku zile 21 sasa imagine wale senior wa REPOA walilipwa shilingi ngapi? Na walienda Pemba na Zanzibar pekee kwa timu yake.
kuhusu harmonize kwa sasa anajitegemea Yuko kwenye lebo yake ya muziki anachokipata yeye ndio anagawa kwa wafanyakazi wake tofauti na zamani alivyokuwa pale WCB, umesikia harmonize kapata tuzo 2 unajua kalipwa sh ngapi?
Ndio nasema natoa mfano how umaarufu wake na pesa zake halisi havikufanana. Same to wasanii wa Ruge walilalamika wananyonywa lakini kwa huku nje wote tuliona wametoboa kwa mbali sana.
 
kwa hiyo mtu akitembelea hizo Nchi ndio anapata USD dollar milioni 2 si ndio?
Sio chini ya hapo, wazungu hawana ubabaishaji kwenye malipo. Kazi ndogo pesa mingi hata bongo hapa NGOs zenye funding ya USAID hizo ina mishahara mikubwa kuliko wafanyakazi wa taasisi zingine.
nani kakudanganya kuwa mtu mwenye MBA na CPA hawezi kufanya ushauri wa kibiashara, hadi useme biashara ya vitenge
Ndio hivyo terms of reference huwezi apply kama hauna PhD huwezi pata. Hata sisi tukizitaka lazima tumbembeleze professor tuweke CV yake pale ili ukiomba yeye ndio awe frontline ila mkipeleka Mr Balenziagq sijui nna CPA wanaitupa huko ila ikianza Professor Balensiaga (PhD, Msc, BA, CPA, CCNP) kabla hata hawajasoma CV yako hapo hapo wanakupa tender.
kwa hiyo hizo consultancies za route za air Tanzania, oile refinery zinafanywa na Maprofesa wangapi, watu wengine wangapi?
Staff ya ATCL inaweza toa watu hata 5 ila consultants huwa sio chini ya watatu ambao ni strictly professors or doctors.

umesema consultancy 1 ni USD 10,000 ambayo ni 25m hiyo pesa ukiigawanya kwa profesa na wasaidizi wake utakuta p
Nimekupa mfano tu zinaanzia hapo kupanda juu, unaweza sema ni pesa ndogo ila akizifanya kila mwezi unadhani anashingapi. Na nyingi hapo ni ripoti tu wala sio kwamba wanaenda kutumia gharama kubwa ni wao na computer zao wanaandaa taarifa tu so hiyo 25m hata akiwapa research assistants atabaki na 10m ana hasara gani?
 
Dotto sio sehemu ya mjadala huu Dada. Pole

Mkuu kwani tatizo nini ? Mimi dada tena ? Aisee… nimemsema dotto sababu watu wengi wamesema kuwa maisha ya kina zembwela ni ya kwenye mtandao tu na hata dotto ukimwona kwenye IG huko anatamba anahela ila anapokaa ni kajamba nani, hapo ndio the resemblance came in, mbona this was very easy to understand ? What is the problem with your medulla ?
 
- kuhusu hizo posho zenu za kukusanya data, nikirejea ulichosema mwanzo ulisema Maprofesa) PhD Huwa wanapata kwenye 300,000/- kama sikosei, haya chukua 300,000x30 ni 9m hiyo pesa Kina Mpoki anapata kwa masaa tu ya kufanya u-Mc,
Hiyo ni kuwepo field ila kuandaa ripoti sasa, kufanya data analysis n.k ina pesa tofauti kabisa. Kama data collection ni million 9 ina maana data analysis na report writing inakua mara 3 yake so wanakunja hapo almost 20 m each.

Kagoogle kwanza hizo baseline, endline, midline ni nini na zinalipwaje ndio urudi. Maana unabisha vitu ambavyo hata hujui vinafanyika vipi.
 
Back
Top Bottom