1. Kwanza ume-declare interest wewe ni mtoto wa Professor nchini, japo ni jambo zuri lakini linafanya uwe biased kwenye analysis yako.
2. Nchini, hakuna Professor anayelipwa kwa kuingia darasani zaidi ni fixed salary ambayo GROSS haizidi 6m TZS (kabla ya makato kibao=Pension fund, Health Insurance, PAYE, workers union etc), unless iwe ni part-time (anayolipwa kwa saa = 60,000/= TSH) sasa ukilinganisha hiyo amount na endorsement za Manara utaona Professor anapunjwa ukilinganisha na kisomo (academic qualifications na work experience vs Ngomaru Manara/Zembwela/Steve Nyerere).
3.......
Yani kupitia ur comment, inaonesha wazi the lowest the level of Logic ambayo ipo kwenye kichwa chako
Kwanza wewe ndio upo BIASED sababu nkipitia comment za wadau, unapinga comment zingine ambazo ni facts na za kweli. Ushajiwekea kupinga chochote na ushaweka ur say as final.
Turejee kwa upande wangu, Kama ningekua biased, kwanza nisingekubali kua kuna celebrities wana maisha mazuri, but kwenye dicsussion yangu nimekiri kabisa wapo macelebritiy wana maisha mazuri sana.
But nimejaribu kukuonesha upande ambao mm nina direct exposure nao, ukisema maisha mazuri aisee kuna ma prof wana maisha mazuri tu. Na ninajua wengi tu wana maisha mazuri.
Does Manara have a good life? Yes, well of course, but so do other university proffesors.
Sijui Definition ya maisha mazuri ni ipi kichwani mwako, kama mtu maarufu kupata endorsement deals ndio maana ya good life kwako upande wako, basi sawa
Ila kwa upande wangu kama mtu na familia yake, basic needs zote wanazipata bila shida, ana security ya kuingiza income through multiple sources nje ya mshahara wake, watoto wanasoma shule nzuri tu, na familia ina huge health insurance hata iweje, etc. Bro huyo ana maisha mazuri aisee
Kuna watu wana draft project proposals that are worth 500k-1mill USD, na hata huwaoni wala huwasikiii and unasema hana maisha mazuri
I guess am done, maana watu wenye mindset kama nyie kubishana nao is a waste of time, rubbish[emoji706]