Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Elimu inasaidia katika maisha lakini cha muhimu zaidi ni ujasiri na kujituma na kua na msimamo.
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Huo mfano wako wa SUA unaukakasi. Vipi wamekuudhi Nini? Ama wamekukamata pahala darasani? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom