Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Sasa hio nayo ni akili? Badala ajenge kwake anaona fahari kuishi kwenye apartment?🤣
Unajuaje kama hajajenga? Kwani mzee reginald mengi alivyokuwa anaishi apartment za haidary plaza ulidhania hana nyumba ?ni preferences tu na life style , au tajiri wa nchi jitu patel anavyokaa kwenye apartment posta huku akiwa mlipa kodi top ten nchini
 
Hahahahahah huyo ni tajiri usifananishe na mchumia tumbo manara ambaye figo zikifeli tu lazma atatembeza bakuli kabla ya miezi miwili haijatimia.
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Maisha mazuri yanapimwa kwanvigezo gani? Neno 'zuri' ni relative so unachokiona kizuri kwako sio na wengine wataona hivyo. Mnataka kila mtu awe mropokaji redioni na kwenye social media eti ndio maisha mazuri.
 
Jiulize umemjua zembwela lini? na hadi leo awe maskini unahisi si atakua kalogwa?

najua umemjua akiwa katika harakat za utafutaji,hadi alipo pale unahisi alifika tu kirahisi?

Maprofesa wanasoma mwenzao ana make pesa..
 
Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Usikariri,wape maua Yao maproff!
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Hii inatokana na uongozi tangu alipofariki JK Nyerere umekuwa unadhamni mambo ya ajabu na kudharau wenye elimu.
Lakini wenye elimu wamekuwa wapuuzi ni bora wasio na elimu.

Ukimchukua Manara akiwa sober na hajanyonya yale mambo yaliyopostiwa na Mange Kimambi App, ukamwambia ajenge garage pale Jangwani atakukatalia ila Profesa mwenye uzoefu wa miaka 25 na aliyesoma kwa fedha za mkopo Mzumbe na SAUT na kumalizia UDSM alijenga katikati ya bonde la maji ambalo zaidi ya miaka 6000 limekuwa bonde la maji , ujue nani zaii hapo?
 
... Kama Profweza akiamua kujikita Katika media na kujitoa ufahamu mimi sina shaka kwamba atawazidi hao kina Zembwela kwa kiwango cha lami dhidi ya changalawe!
Hakuna kitu kama hicho mtoe hata professor wa uchumi mpe biashara kama ataweza kufanya kama kishimba au bakhressa , maprofessor wengi ni bookworm ukiwatoa kwenye kufundisha huwa hata social life zao za shida sana
 
Back
Top Bottom