Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Kwahiyo unataka kusema shule na mfumo wa elimu ufutwe,ili wasiosoma Kama kina zembwela waendelee kuwa na maisha mazuri?
Maza ako alitoa u.chafu tumboni
Hajasema hivyo lazima tukubali duniani kuna opportunities nyingi wasomi wana opportunities zao na hata wasiosoma wana opportunities zao na mungu pia huwa anaamua nani ampe na nani asimpe, huyu diamond ingekuwa riziki anatoa binaadamu tusingekubali awe na pesa alizokuwa nazo ukiangalia ulivyopata tabu shule na chuo halafu maokoto yako mwisho wa mwezi na ukijilinganisha na diamond huwezi kukubali apate anachopata ila ndio hivyo mungu ndio anaamua haya yote u cant complain
 
Yeye lengo la bandiko lake ni kudharau wasomi,kisa ye hajasoma Kama kina zembwela na manara ungaunga.
 
Yeye lengo la bandiko lake ni kudharau wasomi,kisa ye hajasoma Kama kina zembwela na manara ungaunga.
Hapana tusi personalize vitu mimi nina degree mbili lakini nakubali kuwa kusoma na kufanikiwa ni vitu viwili tofauti , ingawa kama binaadamu kusoma au kuelimika ni wajibu ila haiguarantee mafanikio especially nchi hizi za africa, mimi nimeenda nchi fulani hapa africa kuna demu ana degree tatu lakini hadi leo hajawahi kupata kazi ya maana zaidi ya kuhangaika tu , africa kuna kitu hakipo sawa,
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Tajiri nyumba yake tofali analaza hasimamishi na cement mfuko mmoja tofali 24/25/27 zimezidi sana 28 hapo kupiga ufa au nyufa ni mkataba

Tajiri juu anaweza akapiga zege asiweke vigae Wala bati

Tajiri hatembelei gari chini ya Million 200

Masikini nyumba yake tofali anasimamisha halazi na cement mfuko mmoja tofali 40/42/45 hapo ufa/nyufa ni nje nje mwaka tu nyumba imejaa maufa kila sehemu

Masikini bati la 27/28 ndio alipofiki Msouth hagusi

Masikini pikipiki ya million 2.5/3 inamtosha kupiga luti za hapa na pale akifanikiwa sana basi kakamatia passo ya million 10 na hapo amejipinda kweli kweli

Haya emu onyesha hapo nani tajiri?
 
Hapana tusi personalize vitu mimi nina degree mbili lakini nakubali kuwa kusoma na kufanikiwa ni vitu viwili tofauti , ingawa kama binaadamu kusoma au kuelimika ni wajibu ila haiguarantee mafanikio especially nchi hizi za africa, mimi nimeenda nchi fulani hapa africa kuna demu ana degree tatu lakini hadi leo hajawahi kupata kazi ya maana zaidi ya kuhangaika tu , africa kuna kitu hakipo sawa,
Sawa kila mtu apambane na mechi zake
Ye ashinde zake za ungumbaru na uchawa
Na mprof washinde za usomi wao,simple🙏
Ukiona elimu ni ghali,jaribu ujinga aka kukimbia umande,na wanao usisomeshe,waandae kuwa chawa wafanikiwe Kama zembwela 😂😂
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Uchawa unalipa sana ndiyo maana hata vyuo vikuu vinajitahidi kuzalisha machawa badala ya wasomi wanaoweza tatua changamoto za kijamii
 
"Internet illusion"

Waja wakimuona Haji kavaa suti, amepanga apartment Masaki, kaoa mamanzi wakali wasakatonge, kapata balozi kadhaa kwenye Maziwa, anapata maokoto ya Youtube, kaenda New York kupiga picha kwenye magari ya watu, kuweka plate number ya jina lake kwenye Marcides Benz ya bei chee basi ni tajiri. 😁

Badae akijakuanza kuomba msaada wa matibabu kama Mr. Ibu mnaanza kushangaa. 😁
 
Hakuna kitu kama hicho mtoe hata professor wa uchumi mpe biashara kama ataweza kufanya kama kishimba au bakhressa , maprofessor wengi ni bookworm ukiwatoa kwenye kufundisha huwa hata social life zao za shida sana
Sio kweli mbona ndio wanafanya consultancy ya miradi mikubwa. Nadhani wasomi ni washauri zaidi kuliko watendaji usichanganye hayo mambo mawili.

Kibiashara wasomi huwa wana calculate risks nyingi sana ila asiye na elimu anajilipua tu na anajaribu atakosea hata mara 10 so mara ya 11 atafanikiwa ila msomi anataka 1 try 1 success.

Ila kitakwimu biashara za wasomi zina risk ndogo na zina malipo makubwa. Mfano consultancy moja tu ya professor analipwa almost Dollar laki 2!! but sababu sio biashara physical basi mnaona kama hawezi biashara au hajui uongozi.
 
Sasa mkuu, unatoa ujumbe gani?
Kapanga nyumba ya M.8 kwa mwezi? Japo figure haina ukweli ila pia sasa hii ni akili au matope?
Siyo anajilipia,analipiwa na makampuni na huwa wanakua na nyumba zao,ila wamepangisha.
 
Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Tatizo social media ndio mnaona success wapo maprofessor kibao UDSM wana hisa kwenye makampuni malubwa, wanamiliki real estates n.k ila kwakuwa hawana fujo basi unadhani hawana hela.
 
Mkuu ukiachana na social media nimekaa sana vyuoni nayajua maisha kwa angle zote hizo
Mimi ni academician, I teach so najua mabosi wangu walivyo na ukwasi ila tu hawapendi makubwa ila pesa tu kama pesa wanazo hasa wanaofanya consultancy.

Wanafunzi wa PhD tu wakiwa field siku moja kukusanya data ni laki 1 nje ya gharama za malazi na chakula. Sembuse professor.

Naomba uingie Twitter kuna mdada anaitwa Dokta Neema mduma (PhD) "Nakadori" naomba uangalie maisha yake ndio utaelewa nachosema maana anapost mpaka pesa anazopewa kwenye research funding
 
Back
Top Bottom