Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Mkuu tuache chuki hawa kina msnara na ommy dimpoz wana maisha mazuri sanaaaa siyo ya kawaida income zao ni kubwa kuliko unavyodhania
Manara kila mwezi kuna bayport , tigo na utitiri mwingine huko gsm na kadhalika kote huko hela inaingia nyumba anakaa apartment ya usd 3000 per month hiyo ni 8m embu nionyeshe prof yoyote anayeishi karibia tu na maisha hayo
Ndio maana tukamwambia aende field akajionee maisha watu wanavyoishi
 
Huyu Jamaa anasapot upumb.avu
Kwahiyo watu wasisome wawe lapili kama zembwela,wawe chawa ndo wawe na maisha mazuri?

Maisha ya kupost insta?[emoji1787][emoji1787]kula kisinia kwa shilole ndo maisha mazuri?kujenga uswazi ambako Hakuna barabara ndo maisha mazuri?
ukifatilia mtoto wa zembwela anasoma kidumu mfagio,mkewe hajui hata kusoma [emoji23][emoji23]ukoo mzima hakuna msomi,saivi wote wanamwangalia wanasema ye ndo tajiri,akiugua Figo ataanza kuomba michango insta[emoji1787]

Wakati Prof ana bima ya afya yeye na family yake,ana watoto wasomi pia,Wenye kazi zao zenye respect mjini,wanadrive,ana mke msomi,ana pensheni,akipita mtaani anasalimiwa kwa heshma Kama msomi.Prof ana maisha Bora standard.
Maisha mazuri huanzia wapi ,labda tunaweza kupata mwanga
 
Nimependa post#4

Supp. vyuoni ni jambo la kawaida hivyo kusupp kwako hapo chuoni SUA kusikufanye ukawachukia maprofesa
 
Back
Top Bottom