Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

Professor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.

Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
Na professor kabudi na mruma mbona hawa walikua machawa pro max wa magufuli
 
KAMA ULIKUWA HUJUI BASI CHUKUA HII.

KANUNI MOJA YA WATU WALIO FANIKIWA,NI KUTO JITAMGAZA NA KUTOKUWEKA WAZI MIPANGO YAO.
KATIKA KUNDI LA WATUMISHI WALIO WEKEZA SANA HAPA TANZANIA NI HAO MAPROFESA.
WENGI WAMEWEKEZA KWENYE VITEGAUCHUMI VYA MALI NYINGI KULIKO HAO UNAO WASEMA WEWE.

HAO WATU NI MATAJIRI WAKUBWA, SEMA WENYE AKILI HABA HAWACHELEWI KUSEMA MAFISADI.
KUNA PROFESA MMOJA ANA NYUMBA ZA KUPANGISHA 75 NINAZOZIJUA, APPARTMENTS ZA MAANA PUGU, KIGAMBONI, TEGETA, MBWENI, BAGAMAOYO,NA SASA ANAJENGA KULE NJEDENGWA DODOMA
Wanaiba hela za research wanaenda kujenga nyumba za kupanga
 
Nimesema hiyo ni nje ya gharama za malazi so kwa siku akikusanya data ni laki 1 means kwa say mwezi mzima ni million 3 na huwa zinaenda mpaka miezi 3 especially kama ni qualitative. Hapo supervisor obvious anakula sio chini ya laki 3 kwa siku akiwa field kwenye hizo project.

Unaposema consultancy fees ni ndogo je wafanyabiashara au la saba wote wanaweza ingia mikataba ya 200 million? Maana hapa tuna compare wasomi na wasiosoma.

Tanzania wafanayabiashara ni zaidi ya million 5 trust me ni less than 20% ndio wanaweza kuingiza hizo faida za 200 million wengi ni SMEs tu za faida ya 10-100 million pekee per year.

Ila Tanzania maprofessor au PhD holders in academics are less than 10k... Trust me zaidi ya 80% wana uwezo wakuingiza zaidi ya 200m kwa mwaka. Basic tu salary ni 5m for PhD level meaning ni 60m from salary only achilia mbali consultancy fees, supervision, allowances, n.k

So we conclude kwamba PhD holders are more likely to make more money than an average businessman in Tanzania
Kabudi alisema kule vyuoni ni jalalani
 
Uje SUA tuyafanyie uchunguzi mavi yako kama yanafaa kuwa mbolea.Mimi profesa EvilSpirit ndio nitafanya huo uchunguzi
 
Wanaiba hela za research wanaenda kujenga nyumba za kupanga
20240321_130339.jpg
 
Iundwe kamati kuchunguza chanzo cha mapato ya Mwijaku

Hamjui vipato vya hawa wasanii mkuu ,jamaa wanapiga pesa sana hasa kwenye matangazo ,ubalozi ,youtube ,cameo(appearance) ,hao kina mwijaku matangazo wanalamba sana hizo 50m hadi 100m kwa kipindi fulani...sasa kama dotto magari analamba hadi tatu kukurusha tu kwenye instagram yake ,je hao ni mwijaku wanavuta ngapi? Zamani mapapaa walikuwa wanawalipa wasananii wawataje kwenye nyimbi ila kwasasa matajiri wanawalipa machawa kuwataja kwenye page za insta/facebook ....Wewe fikiria Mwijaku kaalikwa na Melly barabuu na pia Ali Sayeed matajiri wa morogoro hao unafikiri kakunja ngapi?
 
Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Usidanganywe na maisha ya, mtandaoni,kama maisha mazuri kwako, ni, ka mshahara ka milioni mbili,ka nyumba, na kagsri, hapo sawa,
"Maisha, mazuri" Ni, relative Kati ya mtu na mtu, Mond na Bakheresa, au, mtoto wa samia, nani,ana maisha mazuri?
Kijana wa, chuo kikuu anayepokea boom, na kijana wa boda boda, nani ana maisha mazuri!
 
Whatever ila hauwezi kuwa considered unless una PhD. Unaweza dharau PhD za UDOM au UDSM but trust me ni ngumu kuliko za nje. huko nje unaweza andika paper nyepesi tu ukapewa PhD ila bongo utaandika likitabu hata miaka 10 ndio upewe PhD so utajua tu kuandika in the process.

Kasoma University of Hull huko utapata PhD on time ila za UDSM utatumia miaka 10. Mfano pale MA tulikua tunapewa assignment mfano kuandaa muswada wa PPRA kwa kuanisha madhaifu ya kila kifungu (Mind you sio kozi ya sheria), tuliwahi pewa kazi ya kuchambua uchumi wa nchi with rare data kama Burkina Faso sijui Mali relative to Tanzania kwa kila item ya BOP na page ziwe zaidi ya 40 na unapewa siku moja tu!! Hivi kweli hapo hautokuwa expert wa kuandika?
Alafu hawa maprofessor na phd za hapa tanzania wanaozipata kwa shida hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuwa machawa

Ila mnao watuhumu elimu yao rais wanavumbua vitu kila siku
Elimu ni beyond kufaulu ndo maana kwa wazungu wewe kufaulu au kukupa phd sio ishu sababu wanajua kuna mambo unatakiwa ufanye ndo yatakupa heshima na vyeti ndo maana ni ngumu kuona mzungu jiba lake anaanza na phd huo ushamba hawana
 
Hamjui vipato vya hawa wasanii mkuu ,jamaa wanapiga pesa sana hasa kwenye matangazo ,ubalozi ,youtube ,cameo(appearance) ,hao kina mwijaku matangazo wanalamba sana hizo 50m hadi 100m kwa kipindi fulani...sasa kama dotto magari analamba hadi tatu kukurusha tu kwenye instagram yake ,je hao ni mwijaku wanavuta ngapi? Zamani mapapaa walikuwa wanawalipa wasananii wawataje kwenye nyimbi ila kwasasa matajiri wanawalipa machawa kuwataja kwenye page za insta/facebook ....Wewe fikiria Mwijaku kaalikwa na Melly barabuu na pia Ali Sayeed matajiri wa morogoro hao unafikiri kakunja ngapi?
Profesa analamba ngapi kila akiingia lecture?
 
Profesa analamba not more than 3m per month ambazo Dotto magari anakunja kwa siku moja tu akimpa promo Chino-wana-mani.
Watu mnadanganyana humu,huyo sijui Doto magari angekua na hizo pesa asingeshindwa kumpa mwanae just elfu 50 pekee ya matumizi kwa mwezi mpaka kaenda kudhalilishwa.
 
Sijajua kipimo chako cha maisha mazuri ni kipi ila nilipenda nikukaribishe Moro ucheki wa mzumbe maisha yao
Au udom pita wangalie udsm mbali sana

Inawezekana ukiamuangalia prof wenu wa kansani mpiga kinanda unahis wote wanaishi vile

Huyu zembwela na manara mitandao tu
 
Back
Top Bottom