Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na professor kabudi na mruma mbona hawa walikua machawa pro max wa magufuliProfessor hajawahi kuwa chawa,hajafikia hatua ya kujidhalilisha kushobokea wanaume wenzie ili pesa ziingie,professa akipata mtoto wa kiume hajawahi lazimisha apewe jina la Boss wake ili kumfurahisha zaidi na kibarua kiendelee kudumu. Professor hajawahi kuwa mropokaji.
Mjini ni kujitoa akili ili uishi vizuri mitandaoni
Wanaiba hela za research wanaenda kujenga nyumba za kupangaKAMA ULIKUWA HUJUI BASI CHUKUA HII.
KANUNI MOJA YA WATU WALIO FANIKIWA,NI KUTO JITAMGAZA NA KUTOKUWEKA WAZI MIPANGO YAO.
KATIKA KUNDI LA WATUMISHI WALIO WEKEZA SANA HAPA TANZANIA NI HAO MAPROFESA.
WENGI WAMEWEKEZA KWENYE VITEGAUCHUMI VYA MALI NYINGI KULIKO HAO UNAO WASEMA WEWE.
HAO WATU NI MATAJIRI WAKUBWA, SEMA WENYE AKILI HABA HAWACHELEWI KUSEMA MAFISADI.
KUNA PROFESA MMOJA ANA NYUMBA ZA KUPANGISHA 75 NINAZOZIJUA, APPARTMENTS ZA MAANA PUGU, KIGAMBONI, TEGETA, MBWENI, BAGAMAOYO,NA SASA ANAJENGA KULE NJEDENGWA DODOMA
Kabudi alisema kule vyuoni ni jalalaniNimesema hiyo ni nje ya gharama za malazi so kwa siku akikusanya data ni laki 1 means kwa say mwezi mzima ni million 3 na huwa zinaenda mpaka miezi 3 especially kama ni qualitative. Hapo supervisor obvious anakula sio chini ya laki 3 kwa siku akiwa field kwenye hizo project.
Unaposema consultancy fees ni ndogo je wafanyabiashara au la saba wote wanaweza ingia mikataba ya 200 million? Maana hapa tuna compare wasomi na wasiosoma.
Tanzania wafanayabiashara ni zaidi ya million 5 trust me ni less than 20% ndio wanaweza kuingiza hizo faida za 200 million wengi ni SMEs tu za faida ya 10-100 million pekee per year.
Ila Tanzania maprofessor au PhD holders in academics are less than 10k... Trust me zaidi ya 80% wana uwezo wakuingiza zaidi ya 200m kwa mwaka. Basic tu salary ni 5m for PhD level meaning ni 60m from salary only achilia mbali consultancy fees, supervision, allowances, n.k
So we conclude kwamba PhD holders are more likely to make more money than an average businessman in Tanzania
Wanaiba hela za research wanaenda kujenga nyumba za kupanga
Iundwe kamati kuchunguza chanzo cha mapato ya Mwijaku
Usidanganywe na maisha ya, mtandaoni,kama maisha mazuri kwako, ni, ka mshahara ka milioni mbili,ka nyumba, na kagsri, hapo sawa,Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
Alafu hawa maprofessor na phd za hapa tanzania wanaozipata kwa shida hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuwa machawaWhatever ila hauwezi kuwa considered unless una PhD. Unaweza dharau PhD za UDOM au UDSM but trust me ni ngumu kuliko za nje. huko nje unaweza andika paper nyepesi tu ukapewa PhD ila bongo utaandika likitabu hata miaka 10 ndio upewe PhD so utajua tu kuandika in the process.
Kasoma University of Hull huko utapata PhD on time ila za UDSM utatumia miaka 10. Mfano pale MA tulikua tunapewa assignment mfano kuandaa muswada wa PPRA kwa kuanisha madhaifu ya kila kifungu (Mind you sio kozi ya sheria), tuliwahi pewa kazi ya kuchambua uchumi wa nchi with rare data kama Burkina Faso sijui Mali relative to Tanzania kwa kila item ya BOP na page ziwe zaidi ya 40 na unapewa siku moja tu!! Hivi kweli hapo hautokuwa expert wa kuandika?
Hata matajiri wana kwepa kodi, wana fanya magendoWanaiba hela za research wanaenda kujenga nyumba za kupanga
Profesa analamba ngapi kila akiingia lecture?Hamjui vipato vya hawa wasanii mkuu ,jamaa wanapiga pesa sana hasa kwenye matangazo ,ubalozi ,youtube ,cameo(appearance) ,hao kina mwijaku matangazo wanalamba sana hizo 50m hadi 100m kwa kipindi fulani...sasa kama dotto magari analamba hadi tatu kukurusha tu kwenye instagram yake ,je hao ni mwijaku wanavuta ngapi? Zamani mapapaa walikuwa wanawalipa wasananii wawataje kwenye nyimbi ila kwasasa matajiri wanawalipa machawa kuwataja kwenye page za insta/facebook ....Wewe fikiria Mwijaku kaalikwa na Melly barabuu na pia Ali Sayeed matajiri wa morogoro hao unafikiri kakunja ngapi?
Profesa analamba not more than 3m per month ambazo Dotto magari anakunja kwa siku moja tu akimpa promo Chino-wana-mani.Profesa analamba ngapi kila akiingia lecture?
Watu mnadanganyana humu,huyo sijui Doto magari angekua na hizo pesa asingeshindwa kumpa mwanae just elfu 50 pekee ya matumizi kwa mwezi mpaka kaenda kudhalilishwa.Profesa analamba not more than 3m per month ambazo Dotto magari anakunja kwa siku moja tu akimpa promo Chino-wana-mani.