The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.