Zembwela: Watumishi wa umma si tu kwamba hawamuogopi Waziri Mkuu, bali pia wanamdharau

Angekaa kimya angepungukiwa na nini!?
Pale kwenye nyumba ya ibada kama mnavyoita wenye dini zenu, alilazimishwa kuongea vile alivyoongea!!??
Huwezi kukaa kimyaaa, kiongozi wa kitaifa anapokuwa haonekani kwenye public, you must have something to say, to fiill particular gap.

Mlitaka itanngazwe kirahisi rahisi tu, kunakuwa na maandalizi makubwa ,deep state inakuwa kazini kuhakikisha issue zote ziko constant.
 
Naona unamtetea homeboy wako mnayetoka kijiji kimoja.

Jamaa yako ni muongo mkubwa.
Anayeweza kudanganya kwenye nyumba ya ibada huyo sio binadamu timamu.
 
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.

Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Huyo Waziri Mkuu hata yeye mwenyewe haamini anayoyasema.
 
Watu wanao ongea sana huwa na element za kitapeli;PM ni msanii ndiyo maana Wana mdharau!!!
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.

Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
 
pm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.

Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
Wapumbavu hamtakaa muishe hapa duniani. Ulitaka aropoke tu JPM kafa?
 
Amekuwa anachanganya ziara za kichama na kiserikali hivyo basi mtumishi wa Umma anayejielewa hawazi kutishwa na mwanasiasa,siku akijua kutofautisha majukum ya waziri mkuu na majukuu ya mjumbe wa NEC hapo ataweza kuheshimika na maagizo yake yatafuatwa.
 
Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwa
na mamlaka bya kutangaza japo alijua ukweli!!!

Lazima kuwe na maandalizi kiongozi mkuu anapofariki, ulitaka aseme kwamba KAMBALE KAFARIKI???

kwa sababu kulikuwa na tetesi na kiu ya watu kujua ilipaswa kauli flani itoke.
Hivi kweli una akili sawasawa wewe? Acha kutufanya Watanzania wapumbavu.
 
Maagizo ya huyu mzee huwa hayatekelezwi wala tume zake anazoziundaga huwa hazileti majibu.
 
Angekaa kimya angepungukiwa na nini!?
Pale kwenye nyumba ya ibada kama mnavyoita wenye dini zenu, alilazimishwa kuongea vile alivyoongea!!??
Angekaaje kimya wakati watanzania walikuwa wanaulizia aliko rais wao mpendwa?

Kukaa kimya maana yake uvumi uliopo ni kweli.Kwa hiyo ilikuwa inatafutwa namna ya kupoza wananchi.
 
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.

Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Waziri mkuu huyu hawezi kueshimika hata kidogo lzm adharauliwe tu.
 
Mnawasingizia tu watumishi wa umma. Ukweli mnaujua.
 
Back
Top Bottom