Zembwela: Watumishi wa umma si tu kwamba hawamuogopi Waziri Mkuu, bali pia wanamdharau

Zembwela: Watumishi wa umma si tu kwamba hawamuogopi Waziri Mkuu, bali pia wanamdharau

Nasema hv bora makamu wa raisi philip mpango japo yeye sio mwanasiasa awe raisi sio majaliwa(mzee wa tume ya uchunguzi) waziri mkuu mwendo kasi tu ulimshinda kutatua mgogoro tusifanye uraisi sehemu ya kujaribishia watu km waziri mkuu tu kashindwa kusolve mambp mengi u rais uatauweza wapi
Acheni dharau,kwa sasa mtu pekee anayefaa kuwa Rais Tanzania kutoka CCM ni Kassim Majaliwa pekee yake.
 
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.

Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Heshima is a two way traffic
 
1. Majaliwa hajiamini kila saa kumtaja rais pasipokujua kuwa yeye ana nguvu kufanya maamuzi kama pm

2. Majaliwa na babalevo au Mwijaku tofauti yao ni kuwa pm analindwa na ana msafara lkn wote ni machawa
 
pm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.

Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
kanuni za kiuongozi yaani itifaki,haimruhusu kabisa mtu asiye makamu wa rais kutangaza kifo cha raisi aaliyekuwa madarakani,kwa hili asilaumiwe alikuwa kazini

shida ilianza baada ya bi arafa kuchukua usukani,ikaonekana watu wote waliokuwa wanategemewa na mwendazake wanatakiwa watolewe upepo,waache makeke.
kwa sasa kambale ni mmoja tu,kama una vinasaba naye basi nawewe ni kambale kama yeye.
 
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.

Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
shida sio pm. Bali boss wake
kumbuka maneno: "mama yenu analea wezi"

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Sasa huu ndo ukomavu wa akili.
Inashangaza watu wanamlaumu sana Majaliwa alidanganya wananchi kuhusu afya ya Magufuli.

Swali ni je,alikuwa na power ya kutangaza "MUHESHIMIWA RAIS MAGUFULI HATUNAE"

Magufuli alikuwa ni rais so haikuwa simpo kiasi hicho kutangaza kufa kwake.

sawa japo angesema kuwa anaumwa, anapata tiba!

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Hujaelewa kaka!! Kuna protocol, hawezi kukurupuka.

Kuna mazingira ya kulisemeae jambo!!

Kutangaza msiba bwa kitaifa ni tofauti na kutangaza msiba wa level ya familia Kaka yangu Maji ya Pwani.

Nakupa msemo mmoja wa busara
" A TALKATIVE PERSON CAN NOT BE NOMINATED TO HOLD BIG OFFICE, HE WILL COME TO REVEAL TOP SECRET OF AN ORGANIZATION/INSTITUTION AND CAUSE CHAOS..."
By HON Kashushu District Magistrate of Masasi.

Kauli ambayo aliitoa Mh Waziri Mkuu ilikuwa ni busara ya kiongozi kwa sababu kulikuwa na INFORMATION VACUUM, and Nature does not allow vacuum .

Usifikiri alitamka vile bahati mbaya, la hasha ni kwa sababu ya sounding an official news,, akapaswa ku fiil ile gap.

Wakati ikisubiriwa wakati rasmi ufike!!! wa kutangaza.
Hiyo ilikuwa Sehemu ya majibu ya ki protocol , kwa msiba mkubwa wa mkuu wa Nchi.

Alijua alichokuwa anakifanya!!!

Vipi kijana wetu anaendeleaje??? Kimasomo??
Mie sio mwanafunzi am tax payer km ww diaspora
 
Back
Top Bottom