Kwa iyo rais kufa ni jambo la ajabu yani ni ajabu katoba na sheria zipo kwa ajiro ya nn kwann alisimama mbele ya msikiti japo yeye mkristo kidini na kusema rais yuko fit si angekausha au ndo akitaka kuwa prove wrong wapinzan shame on him.
Hujaelewa kaka!! Kuna protocol, hawezi kukurupuka.
Kuna mazingira ya kulisemeae jambo!!
Kutangaza msiba bwa kitaifa ni tofauti na kutangaza msiba wa level ya familia Kaka yangu Maji ya Pwani.
Nakupa msemo mmoja wa busara
" A TALKATIVE PERSON CAN NOT BE NOMINATED TO HOLD BIG OFFICE, HE WILL COME TO REVEAL TOP SECRET OF AN ORGANIZATION/INSTITUTION AND CAUSE CHAOS..."
By HON Kashushu District Magistrate of Masasi.
Kauli ambayo aliitoa Mh Waziri Mkuu ilikuwa ni busara ya kiongozi kwa sababu kulikuwa na INFORMATION VACUUM, and Nature does not allow vacuum .
Usifikiri alitamka vile bahati mbaya, la hasha ni kwa sababu ya sounding an official news,, akapaswa ku fiil ile gap.
Wakati ikisubiriwa wakati rasmi ufike!!! wa kutangaza.
Hiyo ilikuwa Sehemu ya majibu ya ki protocol , kwa msiba mkubwa wa mkuu wa Nchi.
Alijua alichokuwa anakifanya!!!
Vipi kijana wetu anaendeleaje??? Kimasomo??