The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Mama aliwapa ruhusa wale kwa urefu wa kamba zao!!Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwapm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.
Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
Aanze na mawaziri na Makatibu wakuu, wale ndiyo wezi wakubwa wa mali za ummaM
Mama aliwapa ruhusa wale kwa urefu wa kamba zao!!
Huyu mzee kwanza aachie mvi tuzione, aache kupaka kiwi nywelepm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.
Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
Nani kachochewa nini!?Uchochezi.....
Sasa huu ndo ukomavu wa akili.Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwa
na mamlaka bya kutangaza japo alijua ukweli!!!
Lazima kuwe na maandalizi kiongozi mkuu anapofariki, ulitaka aseme kwamba KAMBALE KAFARIKI???
kwa sababu kulikuwa na tetesi na kiu ya watu kujua ilipaswa kauli flani itoke.
Tunaishi na wajinga wengi sanaAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Ukweli mchungu huu, sema tunatofautiana vitengo au mamlakaNchi hii kila mtu mwizi
Ova
Wanamdaharau sababu kahamia Kizmkazi ghafla wakati sio tabia yake.Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.