Nyamshongoma
Member
- Sep 12, 2024
- 94
- 210
Hicho kiti wanamlazimisha tu kukikaliaAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Kwa iyo rais kufa ni jambo la ajabu yani ni ajabu katoba na sheria zipo kwa ajiro ya nn kwann alisimama mbele ya msikiti japo yeye mkristo kidini na kusema rais yuko fit si angekausha au ndo akitaka kuwa prove wrong wapinzan shame on him.Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwa
na mamlaka bya kutangaza japo alijua ukweli!!!
Lazima kuwe na maandalizi kiongozi mkuu anapofariki, ulitaka aseme kwamba KAMBALE KAFARIKI???
kwa sababu kulikuwa na tetesi na kiu ya watu kujua ilipaswa kauli flani itoke.
Ndiyo mnajidanganyaga hivyo eti!Kifo hakina siri,hakina madaraka,hakina ulinzi,hakina sifa tena.Sasa huu ndo ukomavu wa akili.
Inashangaza watu wanamlaumu sana Majaliwa alidanganya wananchi kuhusu afya ya Magufuli.
Swali ni je,alikuwa na power ya kutangaza "MUHESHIMIWA RAIS MAGUFULI HUTUNAE"
Magufuli alikuwa ni rais so haikuwa simpo kiasi hicho kutangaza kufa kwake.
Inasikitisha kwa kweli.Kwa iyo rais kufa ni jambo la ajabu yani ni ajabu katoba na sheria zipo kwa ajiro ya nn kwann alisimama mbele ya msikiti japo yeye mkristo kidini na kusema rais yuko fit si angekausha au ndo akitaka kuwa prove wrong wapinzan shame on him.
Ripoti za CAG zinamwaga upupu kila siku wao kazi yao kuzizuia wakijirinda kwa iyo haya makelele ya waziri akitaka majibu acheki ripoti ya CAG kamaliza. Tunapenda san kucheza na tv kutafta public sympathyInasikitisha kwa kweli.
Nasema hv bora makamu wa raisi philip mpango japo yeye sio mwanasiasa awe raisi sio majaliwa(mzee wa tume ya uchunguzi) waziri mkuu mwendo kasi tu ulimshinda kutatua mgogoro tusifanye uraisi sehemu ya kujaribishia watu km waziri mkuu tu kashindwa kusolve mambp mengi u rais uatauweza wapiMajaliwa kaamua kuwa mpole asije kumzidi umaarufu aliye juu yake ila madudu yote serikalini anayaona Tu yakiwemo ya bosi wake....
Majaliwa WA enzi za Magufuli alikuwa anaogopwa na watumishi WA serikali kuliko hata JPM,
IPO siku atakuwa Rais wa Tanzania....narudia atakuwa Rais wa Tanzania!
Tatizo hata akifanya ubadhilifu anahamishwa akafanye kungineAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Hujaelewa kaka!! Kuna protocol, hawezi kukurupuka.Kwa iyo rais kufa ni jambo la ajabu yani ni ajabu katoba na sheria zipo kwa ajiro ya nn kwann alisimama mbele ya msikiti japo yeye mkristo kidini na kusema rais yuko fit si angekausha au ndo akitaka kuwa prove wrong wapinzan shame on him.
Angekaa kimya angepungukiwa na nini!?Sasa huu ndo ukomavu wa akili.
Inashangaza watu wanamlaumu sana Majaliwa alidanganya wananchi kuhusu afya ya Magufuli.
Swali ni je,alikuwa na power ya kutangaza "MUHESHIMIWA RAIS MAGUFULI HUTUNAE"
Magufuli alikuwa ni rais so haikuwa simpo kiasi hicho kutangaza kufa kwake.
Alitakiwa kukaa kando mapema sana.pm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.
Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
Kaka communication gap inatokana na comm failure between party husika.Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwa
na mamlaka bya kutangaza japo alijua ukweli!!!
Lazima kuwe na maandalizi kiongozi mkuu anapofariki, ulitaka aseme kwamba KAMBALE KAFARIKI???
kwa sababu kulikuwa na tetesi na kiu ya watu kujua ilipaswa kauli flani itoke.
Katika maeneo yoye akachagua msikitini mkuuHujaelewa kaka!! Kuna protocol, hawezi kukurupuka.
Kuna mazingira ya kulisemeae jambo!!
Kutangaza msiba bwa kitaifa ni tofauti na kutangaza msiba wa level ya familia Kaka yangu Maji ya Pwani.
Nakupa msemo mmoja wa busara
" A TALKATIVE PERSON CAN NOT BE NOMINATED TO HOLD BIG OFFICE, HE WILL COME TO REVEAL TOP SECRET OF AN ORGANIZATION/INSTITUTION AND CAUSE CHAOS..."
By HON Kashushu District Magistrate of Masasi.
Kauli ambayo aliitoa Mh Waziri Mkuu ilikuwa ni busara ya kiongozi kwa sababu kulikuwa na INFORMATION VACUUM, and Nature does not allow vacuum .
Usifikiri alitamka vile bahati mbaya, la hasha ni kwa sababu ya sounding an official news,, akapaswa ku fiil ile gap.
Wakati ikisubiriwa wakati rasmi ufike!!! wa kutangaza.
Hiyo ilikuwa Sehemu ya majibu ya ki protocol , kwa msiba mkubwa wa mkuu wa Nchi.
Alijua alichokuwa anakifanya!!!
Vipi kijana wetu anaendeleaje??? Kimasomo??
Naam, inapokuwa na japo lazima uwe na proper platform ya kusemea!!!Katika maeneo yoye akachagua msikitini mkuu
Yuko sahihi 100%Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Kama PM alikuwa anajua kila kitu, issue kubwa ni protocol, msiba wa mkuu wa nchi,hauwi msiba rahisi kuutangaza!!!Kaka communication gap inatokana na comm failure between party husika.
Na hilo ni kosa litabaki kuwa kosa, hakuna kulipaka rangi. Maybe now watakuwa wamejirekebisha but otherwise thats was his mistake
Apewe pongezi kwa kutumia uhuru wake kutoa maoni.Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.