Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Huwezi kukaa kimyaaa, kiongozi wa kitaifa anapokuwa haonekani kwenye public, you must have something to say, to fiill particular gap.Angekaa kimya angepungukiwa na nini!?
Pale kwenye nyumba ya ibada kama mnavyoita wenye dini zenu, alilazimishwa kuongea vile alivyoongea!!??
Naona unamtetea homeboy wako mnayetoka kijiji kimoja.Huwezi kukaa kimyaaa, kiongozi wa kitaifa anapokuwa haonekani kwenye public, you must have something to say, to fiill particular gap.
Mlitaka itanngazwe kirahisi rahisi tu, kunakuwa na maandalizi makubwa ,deep state inakuwa kazini kuhakikisha issue zote ziko constant.
Huyo Waziri Mkuu hata yeye mwenyewe haamini anayoyasema.Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Kwa hiyo akiwa zembwela inakuwaje mkuu kwamba maoni yake hayana thamani au!?Kumbe mtu mwenyewe Zembwela!😡
Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Wapumbavu hamtakaa muishe hapa duniani. Ulitaka aropoke tu JPM kafa?pm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.
Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
Hivi kweli una akili sawasawa wewe? Acha kutufanya Watanzania wapumbavu.Hakuwahi kulidanganya, Ali fill gape inayoitwa communication gap, hakuwa mtu sahihi, hakuwa
na mamlaka bya kutangaza japo alijua ukweli!!!
Lazima kuwe na maandalizi kiongozi mkuu anapofariki, ulitaka aseme kwamba KAMBALE KAFARIKI???
kwa sababu kulikuwa na tetesi na kiu ya watu kujua ilipaswa kauli flani itoke.
wewe nae. u smart wa mtu na mada vina husiana nin? wewe kama huna hela paka kanta achia wezio wana hela eanapaka blue magic mafuta tu nywele inawaka hiviHuyu mzee kwanza aachie mvi tuzione, aache kupaka kiwi nywele
Angekaaje kimya wakati watanzania walikuwa wanaulizia aliko rais wao mpendwa?Angekaa kimya angepungukiwa na nini!?
Pale kwenye nyumba ya ibada kama mnavyoita wenye dini zenu, alilazimishwa kuongea vile alivyoongea!!??
Yeye ndiye alipaswa kujibu!!??Angekaaje kimya wakati watanzania walikuwa wanaulizia aliko rais wao mpendwa?
Kukaa kimya maana yake uvumi uliopo ni kweli.Kwa hiyo ilikuwa inatafutwa namna ya kupoza wananchi.
Yeye ni katika top 3 wa serikali.Yeye ndiye alipaswa kujibu!!??
Kwa hiyo akaona sehemu nzuri ya kusema uongo ni kwenye nyumba ya ibada!!??Yeye ni katika top 3 wa serikali.
Yumkini aliambiwa afanye hivyo.
Waziri mkuu huyu hawezi kueshimika hata kidogo lzm adharauliwe tu.Akitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.