WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Acheni dharau,kwa sasa mtu pekee anayefaa kuwa Rais Tanzania kutoka CCM ni Kassim Majaliwa pekee yake.Nasema hv bora makamu wa raisi philip mpango japo yeye sio mwanasiasa awe raisi sio majaliwa(mzee wa tume ya uchunguzi) waziri mkuu mwendo kasi tu ulimshinda kutatua mgogoro tusifanye uraisi sehemu ya kujaribishia watu km waziri mkuu tu kashindwa kusolve mambp mengi u rais uatauweza wapi
Heshima is a two way trafficAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Hamna kituAcheni dharau,kwa sasa mtu pekee anayefaa kuwa Rais Tanzania kutoka CCM ni Kassim Majaliwa pekee yake.
Na yeye anajua hili ndio la muhimuHata wakimdharau aipunguzi dollar zake
1. Majaliwa hajiamini kila saa kumtaja rais pasipokujua kuwa yeye ana nguvu kufanya maamuzi kama pmAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Hujielewi Majaliwa ni chawa tu, tena atavurunda kuliko SamiaAcheni dharau,kwa sasa mtu pekee anayefaa kuwa Rais Tanzania kutoka CCM ni Kassim Majaliwa pekee yake.
kanuni za kiuongozi yaani itifaki,haimruhusu kabisa mtu asiye makamu wa rais kutangaza kifo cha raisi aaliyekuwa madarakani,kwa hili asilaumiwe alikuwa kazinipm Majaliwa toka alipo lidanganya taifa kuhusu JPM,alipoteza credibility kubwa sana kama kiongozi.
Mimi nampe ushauri wa bure kabisa,aache drama zake za kuunda tume za hovyo zinazo tumia pesa za umma.
shida sio pm. Bali boss wakeAkitoa maoni yake kuhusu Waziri Mkuu kuwasema watumishi wabadhirifu, mtangazaji wa wasafi fm amesema tangu aanze kumskiliza Waziri Mkuu katika ziara zake kila mara utamsikia akikutana na ubadhirifu wa aina ileile jambo linalotoa tafsiri kwamba hao watumishi wa umma hawana hofu yoyote wa kufanya wanachotaka.
Ameenda mbali na kusema hata hayo maagizo aliyoyatoa ya kuweka taa wataenda pale na kuweka taa mbili au tatu story itakuwa imeishia hapo.
Sasa huu ndo ukomavu wa akili.
Inashangaza watu wanamlaumu sana Majaliwa alidanganya wananchi kuhusu afya ya Magufuli.
Swali ni je,alikuwa na power ya kutangaza "MUHESHIMIWA RAIS MAGUFULI HATUNAE"
Magufuli alikuwa ni rais so haikuwa simpo kiasi hicho kutangaza kufa kwake.
Mie sio mwanafunzi am tax payer km ww diasporaHujaelewa kaka!! Kuna protocol, hawezi kukurupuka.
Kuna mazingira ya kulisemeae jambo!!
Kutangaza msiba bwa kitaifa ni tofauti na kutangaza msiba wa level ya familia Kaka yangu Maji ya Pwani.
Nakupa msemo mmoja wa busara
" A TALKATIVE PERSON CAN NOT BE NOMINATED TO HOLD BIG OFFICE, HE WILL COME TO REVEAL TOP SECRET OF AN ORGANIZATION/INSTITUTION AND CAUSE CHAOS..."
By HON Kashushu District Magistrate of Masasi.
Kauli ambayo aliitoa Mh Waziri Mkuu ilikuwa ni busara ya kiongozi kwa sababu kulikuwa na INFORMATION VACUUM, and Nature does not allow vacuum .
Usifikiri alitamka vile bahati mbaya, la hasha ni kwa sababu ya sounding an official news,, akapaswa ku fiil ile gap.
Wakati ikisubiriwa wakati rasmi ufike!!! wa kutangaza.
Hiyo ilikuwa Sehemu ya majibu ya ki protocol , kwa msiba mkubwa wa mkuu wa Nchi.
Alijua alichokuwa anakifanya!!!
Vipi kijana wetu anaendeleaje??? Kimasomo??
Post Ina various facts, umeamua kujibu jambo ambalo sio la msingi, you just running around the bushes!!Mie sio mwanafunzi am tax payer km ww diaspora
Na mimi pia sio diaspora, niko TZ ni mkulima mdogo !!!Mie sio mwanafunzi am tax payer km ww diaspora