Zengwe zito uchaguzi TFF

Home boy Sio!! [emoji2] [emoji2]
 
Mkuu waambie hao wanakaririshwa tu maneno.
 
Naomba FIFA waje na watufungie hata miaka saba tu ili tutulie na tujipange vema.
 
Unamjua sepp blatter???

Alitokaje fifa???
 
Kwahiyo mtu anafoji na kuiba pesa huku soka tunazidi kushuka kiwango wewe unaona sawa tu?nadhani wewe ulijui soka na hata huna uchungu nalo utakuwa mshabiki wa bongo flava huku sio kwako mkuu.
Watz tuna huruma za ajabu sana.
 
na huyu malinzi anatakiwa ale mvua za kutosha
 
Lakini.sababu si inafahamika jamaa wapo mahabusu.hawakuwepo kwa kupenda.na wale si wakosefu.ni watuhumiwa.
Halafu point yako ingemtoa Malinzi knockout kwenye kampeni
 
Hivi pesa za tff sio za umma kweli.......
Kwa nn ikibainika watu km malinzi wasipigwe risasi km wafanyavyo China ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia km hiyo
 
mbona ni rahisi sana, hiki ndio kipindi cha mavuno malinzi wametuma rushwa kwa wajumbe ili wawachague katika uchaguzi
 
Malinzi aliyumia mbinu aliyotumia Mkuu Lowasa kuwa na wajumbe watiifu katika uchaguzi,na alikuwa anaenda kushinda kwa kishindo
Hapa kuna tatizo mahali, kwanini iwe kutuhumiwa tu unapoteza haki zako nyingine za kiraia? Hivi kwanini usiangeandaliwa utaratibu akasailiwe huko huko mahabusi? Simuungi mkono Jamal lakini ni vema akatendewa haki.
 
ndugu amini usiamini hakuna uchaguzi ,naona kabisa hii tume ya uchaguzi TFF ilipangwa uwabebe akina Malinzi,inavyoonesha hawa wajumbe 4 kesho na wao watabandika matokeo yao ya usahili mbali na yale ya mwenyekiti
Hiki kitaasisi magufuli akifungie tuu ni useless bora tusitambulike na FIFA ila sio kua na wanakamati na viongozi mbumbu wenye maslahi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…