Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

isajorsergio

Platinum Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
4,143
Reaction score
6,560
Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!

Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.

Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza upya na hivi sasa. Wanachama wa JF wangelipenda kuona mijadara mizito na yenye ufikirishi wa fikra kwa wenzao.

Endapo ukiridhia itabidi uchague watayarishaji, waendeshaji na waratibu wasaidizi kusaidia kufanikisha hili endapo mmoja wao hakutokea.

cc. Zero IQ
 
Yupo kwenye Honey Moon alileta bandiko hpa kua anataraji kuchukua jiko,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labuda keshafumuliwa marinda maana anapenda sana kumendea wake /watoto wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…