MarkHilary
JF-Expert Member
- Feb 8, 2015
- 1,813
- 2,188
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada na Chambuzi mbalimbali.We mahojiano gani kila siku!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio lazima, ndio maana wakipatakana wasaidizi kwa suala kama hili watasaidia kutokosekana wazo husika.naitaji kujua kama endapo member kajickia kutotoa hoja kuna ulazima wa yy kutoa, ama kuna ulazma mtu kupost hata kama hana cha kupost?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji860]nimekuelewa[emoji120]asantehSio lazima, ndio maana wakipatakana wasaidizi kwa suala kama hili watasaidia kutokosekana wazo husika.
Hivi ikitokea mtu kaenda kwa sir God wanajamvi wanajuaje humu mkuu na haya mafake ID.Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?!
Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa.
Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza upya na hivi sasa. Wanachama wa JF wangelipenda kuona mijadara mizito na yenye ufikirishi wa fikra kwa wenzao.
Endhapo ukiridhia itabidi uchague watayarishaji, waendeshaji na waratibu wasaidizi kusaidia kufanikisha hili endapo mmoja wao hakutokea.
cc. Zero IQ
30% Humu wanajuana so inakuwa rahisi kufahamishwa mfano: Zero IQ anajuana na Demiss.Hivi ikitokea mtu kaenda kwa sir God wanajamvi wanajuaje humu mkuu na haya mafake ID.
Ni swali tu mkuu japo liko nje ya mada