ZERO TOLERANCE !!Serikali ya sasa haina haijaribiwi, Message ilikuwa sent and Delivered Mo29, Vijana mnaotaka kutoka andikeni Wosia

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
 
Inashangaza sana kujivunia uvunjaji wa katiba waziwazi huku ukitegemea askari na Jeshi kukulinda, anyway ni suala la muda tu mbona. Siku zote madaraka hulevya
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
Wosia?...vijana wenyewe hawana hata mia sasa wataandika nini?...
Kwani hao mliowaua waliandika wosia?..
Sheikh Sharif majini nae aliacha wosia?
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
Sio kosa lako ila utaacha laana kwa kizazi chako , naimani upo mda utajutia haya unayoyaandika ila hutakuwa na uwezo wa kutangua tena dhambi hii.
Unafurahia watu kuuliwa kwa sababu ya haki au kutafuta haki ,je unafurahia umesikini tuliotengenezew na serikali ya ccm huku Mungu alitujalia kila kitu? Sawa endelea kucheka ila kinyume chake utalia mda si mwingi
 
Siku zimesogea naona mimavi inagusa nguo za ndani! maaanina mtajua hamjui! Kifo ni kifo tu
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
naunga mkono hoja 🤝
 
Sio kosa lako ila utaacha laana kwa kizazi chako , naimani upo mda utajutia haya unayoyaandika ila hutakuwa na uwezo wa kutangua tena dhambi hii.
Unafurahia watu kuuliwa kwa sababu ya haki au kutafuta haki ,je unafurahia umesikini tuliotengenezew na serikali ya ccm huku Mungu alitujalia kila kitu? Sawa endelea kucheka ila kinyume chake utalia mda si mwingi

Sio kosa lako ila utaacha laana kwa kizazi chako , naimani upo mda utajutia haya unayoyaandika ila hutakuwa na uwezo wa kutangua tena dhambi hii.
Unafurahia watu kuuliwa kwa sababu ya haki au kutafuta haki ,je unafurahia umesikini tuliotengenezew na serikali ya ccm huku Mungu alitujalia kila kitu? Sawa endelea kucheka ila kinyume chake utalia mda si mwingi
Katika maandishi yake Kuna sehemu alipo sema anaunga mkono mauaji au amewapa tahadhari?
Alafu na ww mbona unafurahia Netanyau na Israel inapo uwa watu kama nguruwe mpaka umewaenzi Kwa kuweka bendelea yao kwenye avatar Yako? Punguza unafiki.
 
Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio

Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ?

Be careful out there
Kutisha ni moja ya mbinu za mapambano na kuadvance hata baada ya mauwaji pia ni mbinu ya mapambano.
 
Mleta mada upo sahihi kwa maoni yako haya... Ila amini kwamba Kuna muda amri ya "Shoot to kill " huwa inafika point haifanyi kazi pale surbodinates wako wanapokataa kupokea amri... Nenda pale YouTube kaangalie kilichomkuta caesceu yule Rais wa Romania dakika za mwishomwisho za utawala wake .(Uzuri ni kwamba tukio lile lilirekodiwa live...😎😎🤣 Rais anatoa amri ya shoot to kill ,maaskari na Wanajeshi wanamwangalia tu kama sanamu😄😄...
 
Back
Top Bottom