ZIARA : Shaka Kufanya ziara Kwenye daraja Jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 lililogharimu TZS 76BL,Je nani kuliwa kichwa?

Shaka tumaini jipya TANZANIA
 
Shaka aanze kufikiriwa Kuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Mwinyi,

Kijana huyu ni mtulivu sana na ni mfano wa kuigwa na vijana wengi
 
Ana mamlaka ya kula kichwa?
 

Alikuwa wapi wakati wanapitisha tozo baadae aanze kuleta ajenda ya kupitia Tena maamuzi?

Wanataka kula kichwa Cha nani Tena wakati wao ndio wako madarakani na ujenzi umekua ukiendelea Kwa kuzingatia bajeti kadri ya makadirio, kama kulikua na mapungufu walitakuwa wayaone mapema.

Chama ndio kinatakiwa kiliwe kichwa
 
Sorry naomba kufahamishwa.analipwa kwa per diem za mama zile mpya zilizositishwa au zile za zamani..nataka TU nijue posho yake kwa siku Moja
 
Nenda kaulize yule Mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora ndio utaelewa

Achana na siasa za bei Chee Kiongozi. Hizo sarakasi tu. Unafikiri kiuhalisua kwenye hili game huyo ndio fisadi na mhujumu uchumi au MLA rushwa nguli? Au hawawajui wanaotakiwa kukiwa bichwa? Usanii usanii tu.
 
Sawa shaka.
 
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ndio chama sikivu kwa watanzania chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…