Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM Taifa anayefuata sera za Utawala bora hasa Utawala wa Sheria?!
View attachment 2359994
#Usikokose kesho,

Kweli Tanzania vichaa wengi sanaShaka aanze kufikiriwa Kuwa Rais wa Zanzibar baada ya Dkt Mwinyi,
Kijana huyu ni mtulivu sana na ni mfano wa kuigwa na vijana wengi
Ukichaa wangu ni upi?Kweli Tanzania vichaa wengi sana
Nawasalimu kwa jina la JTM,
Ziara za Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa CCM Taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka zimekuwa zikiacha vilio kwa wazembe na wapigaji katika maeneo ya miradi mbalimbali hapa chini,
Je, tutarajie pia kesho kunamtu ataliwa kichwa na Katibu huyu wa NEC itikadi &Uenezi wa CCM Taifa anayefuata sera za Utawala bora hasa Utawala wa Sheria?!
View attachment 2359994
#Usikokose kesho,
#Mkuu heshima yakoAna mamlaka ya kula kichwa?
Shaka Hamidu Shaka Namuona Akifika mbali Sana kiuongozi katika nchi hii, Ni kiongozi mwenye kufuatilia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali, Hataki kukaa ofisini kusubiri kusoma ripoti Bali anataka akajionee mwenyewe kazi zinavyoendelea na namna mtanzania anavyo hudumiwa
Cha Samaki mkuuAna mamlaka ya kula kichwa?
Are you sure?Cha Samaki mkuu
Are you sure?
Nenda kaulize yule Mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora ndio utaelewaSasa mkuu, huyu mwenezi wa chama atakuwa na mamlaka Gani ya kula kichwa Cha mtu?
Nenda kaulize yule Mrajisi wa Ushirika Mkoa wa Tabora ndio utaelewa
😠_##"-+&$4@8©€😠Shaka tumaini jipya TANZANIA
Sawa shaka.Shaka Hamidu Shaka Namuona Akifika mbali Sana kiuongozi katika nchi hii, Ni kiongozi mwenye kufuatilia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya serikali, Hataki kukaa ofisini kusubiri kusoma ripoti Bali anataka akajionee mwenyewe kazi zinavyoendelea na namna mtanzania anavyo hudumiwa
Wewe humu kila mtu Ni shakaSawa shaka.
CCM ndio Tumaini la watanzania katika kuwaletea maendeleo na ndio chama sikivu kwa watanzania chenye Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzaniaAlikuwa wapi wakati wanapitisha tozo baadae aanze kuleta ajenda ya kupitia Tena maamuzi?
Wanataka kula kichwa Cha nani Tena wakati wao ndio wako madarakani na ujenzi umekua ukiendelea Kwa kuzingatia bajeti kadri ya makadirio, kama kulikua na mapungufu walitakuwa wayaone mapema.
Chama ndio kinatakiwa kiliwe kichwa