Ziara ya Kabudi ya kuomba msamaha ni nzuri kwa taifa

Akili fupi hizi, ndio maana Mbowe aliteremshwa jukwaani huko Hai.
 

Nimecheka kwa nguvu mno jaman...nionee huruma mkuu hapa macho yamejaa machoz
 
Sasa ulitaka aje kwa fujo kama makamanda wa ufipa?
Hapa ndani TZ Kabudi huongea akirusha mate huko na huko na akiwa ametoa macho vibaya mpaka yanapita nyusi zake. Nashangaa kule US alikuwa mpole kama kasisi wa dhehebu la kilokole. Dah hizi siasa za kutudanganya sisi wakulima hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee....yamekuwa hayo

Kwa beberu kila goti litapigwa...nimeamini

Everyday is Saturday....................... 😎
 
Boss Kamundu Na mimi nampongeza na kuwapongeza Jamhuri na Serikali, walishaona ngoma nzito. Marekani ana nguvu sana Duniani. Busara na Hekima ni nzuri kwa ustawi wa Taifa letu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…